Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe

Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe

Nimehamia jukwaa hili kutokea jukwaa la siasa na habari mchanganyiko kuepuka msongamano wa habari za kipuuzi na kitoto. Kumbe na huku zipo?
Hili jujwaa lisha poteza Muelekeo miaka mingi sana, ni bora tu ubakie huko. Nashanagaa mtu anaadika ujinga na then ana shabikiwa na naona wengi wanafurajia ujinga na hawa ndo wanajiita wajasirimali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukutana na post za ainahii humu ila kwa sasa naona ni kawaida tena ndo zinapata wachangiaji wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ni mali, na muda wa kufanya ya maana ukatumika kufanya ndivyo sivyo, huko ni kupoteza muda. Japo msomaji una option ya kuacha kusoma lakini picha ya wandishi wasumbufu inaonekana.
 
Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji mimba, nije?
 
Huwa unatembea nao kuelekea wapi? Badili uelekeo wataacha kubeba mimba badala ya kubeba watoto😛
 
Back
Top Bottom