Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hata Mimi huwa nashangaa! Ila huwa silaumu Bali namshukuru MUNGU kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu
Hata Mimi huwa nashangaa! Ila huwa silaumu Bali namshukuru MUNGU kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hujaeleweka au ni mm mgumu wa kuelewa?wa kike mmoja ambae ni pacha😮😮😮
Sio zako hizo wewe unacheza na wanawake eenh
Kwa hiyo haujajua tatizo?Kuna mkuu mmoja huwa anawaita watu kama weye vitunguu swaumu.A very big ,big laughter!😂😂😂😂😂Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani hujaelewa? Watoto wanne wakiume watatu nawakike mmoja ambaye nipacha mwenzake yupo kwa hao watatu.hujaeleweka au ni mm mgumu wa kuelewa?wa kike mmoja ambae ni pacha![]()
KIBURI CHA UHAI/UZIMA HICHO.Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa si ndo uoe bwana aaarghSiwezi kutembea namwanamke bila kupima, ili kukwepa hilo lakubambikiziwa mimba, sikurupuki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kutembea namwanamke bila kupima, ili kukwepa hilo lakubambikiziwa mimba, sikurupuki.
Sent using Jamii Forums mobile app
oukei, kwa wanawake watatu tofaut?Kitu gani hujaelewa? Watoto wanne wakiume watatu nawakike mmoja ambaye nipacha mwenzake yupo kwa hao watatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huwa mnapima kabla mimba haijaingia kujua itakayoingia ni yako au siyo yako? Au mnapima nini ili kujua hujabambikiwa mimba?
Sent using Jamii Forums mobile app