bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,322
Ukiona mwanamke hamuheshimu mmewe jua yupo nje anaemuheshimu
Weka madhaifu yako ambayo ni makubwa sana ili tuone Sababu za wewe kulea mtoto si wako.Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.
Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.
Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.
Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.
Mwenzangu kununa muda wote.
Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.
Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.
Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.
Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.
Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.
Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.
Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.
Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.
USHAURI wenu wakuu?
Tabulele laaaaaah!Pichaa liliharibikaa baada ya wewe kuforce urudiane nae na akakubali.. BTW hata huyo mtoto 59% yawezekana sio wako!
Wasikutushe mkuu ingia tu! Usiweke kipimo chako kwa failures utakwama!Nikiona hizi mada zinavyoshamiri siku hadi siku, najipa mi5 tena.
Mkuu utatimua wangapi Kwa staili hyo ?😁Bil
Mimi ukininunia au kuniletea kisirani nakutimua muda huo huo
Mimi ananuna mwaka mzimaMkuu utatimua wangapi Kwa staili hyo ?[emoji16]
Najua unajua wanawake tabia zao
Maana unakuta mwngne kaamka asubuhh kanuna tuu ,mwngne anakuwa mnyonge ukimuuliza hakuna sababu ya msingi Yaan miyeyusho tuu lkn ndo hvyo tunaishi nao Kwa akili mingi
Umemaanisha nini?Wewe mwamba unatutaka ushauri wakati nyie mnajadiliana mkiwa watupu sisi tutaweza wapi tukiwa tumevaa nguo? Pambana tu na hali yako!
1.Ngumu kushuka.Weka madhaifu yako ambayo ni makubwa sana ili tuone Sababu za wewe kulea mtoto si wako.
AnaleaUkiona mwanamke hamuheshimu mmewe jua yupo nje anaemuheshimu
Nimelipa mahari na kwao natambulikaNimesoma sijaona mahali kama umemuoa, au walau kutambulishana kwa wazazi... Pengine anaona hujamuheshimisha inavyotakiwa
Ilitokea unfortunatelyPichaa liliharibikaa baada ya wewe kuforce urudiane nae na akakubali.. BTW hata huyo mtoto 59% yawezekana sio wako!