Mwanamke ninayeishi nae amenibadilikia Tabia

Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ,ila namuonea huruma.mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Kilichosababisha ulazimishe kumrudia ni kipi wakati ni wewe ndio ulivunja mahusiano ya mwanzo?
 
Nyege hizo tafuta mchepuko uflash kichupa
 
Unataka ushauri gani hapo juu umesema hutaki kumuacha sababu mtoto mdogo atateseka...? Vumilia ndio lako hiloooo
 
Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
"The worse prison in the world is home without peace, be very careful of whom you enter into marriage."
 
Back
Top Bottom