Mwanamke ninayeishi nae amenibadilikia Tabia

Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Ulilazimsha kurudiana naye, kama mmeachana unarudi kuvumbua nini, huenda kipindi mpo mbali alipata mwingine sasa akili yote ipo kwake
 
Wanasema mwanamke akifikisha miaka 40 hiyo hali hujitokeza hadi kwenye miaka 50 ndo hupotea
 
Huyo anakulipa ulivyo mfanya mwanzo, huenda hata mtoto sio wako, siku ikijua ukweli utakuwa unalipa maumivu uliompatia mara mbili. Kaeni muongee bwana.
 
Twende kwenye mada naomba ushauri wa uhakika.

Miaka minne iliyopita nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ila hatukufanikiwa kudumu mara baada ya mimi kuzuia mahusiano hayo Pasi na sababu ya msingi.

Mwaka Juzi mimi niliforce kurudia tena na huyo binti na kweli alikubali tukawa kwa serious relationship ikaja kutokea amepata ujauzito na nikamwambia azae na ikawa hivyo.

Baada ya kujifungua kwa sasa tunamwaka mmoja ila changamoto kwenye mahusiano yetu ni kama ifuatavyo.

Mwenzangu kununa muda wote.

Hakubali kumaliza jambo hata liwe dogo.

Ana kinyongo hali inayopelekea kunyimwa tendo la ndoa hata kwa mwezi.

Sio mtu ambaye mnaweza mkaa mkapanga mipango ya maisha.

Hana inferiority complex na wala hajiongezi kwa kidogo.

Kiukweli Tabia nyingi hakunionyesha tulivyokuwa kwa mahusiano ya kawaida ila ndo ananionyesha sasa.

Kiukweli Nimetokea kumchukia sana ,nimekuwa mtu wa kumchit na simjali tena.

Kiukweli natamani kumwacha ila namuonea huruma mtoto mdogo niliyezaa nae.

Namalizia sio kwamba sina madhaifu ninayo tena makubwa sana.

USHAURI wenu wakuu?
Yeye ndo anatamani akuache sema tu ulijiongeza kupanda mbegu so akiwaza masingo maza wanavyochakatwa kimasihara kwa dau dogo....anasonya Anaona umemtoa sokoni.

ushauri.
MZALISHE TENA.
 
Bnafs ukninunia nkakubembeleza bdo ukanuna tu nakuwa sina msaada na ww tutanuniana hvo mpk kieleweke
 
Back
Top Bottom