kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,148
- 2,779
Habari za jumapili wakuu.
Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo.
Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu ya kupambana na matajiri coz ya mwanamke nikaachana na zile harakati zangu nikaendelea na mambo mengine ya maisha.
So juzi nikiwa katika harakati zangu za maisha nikaona number mpya inanipigia kupokea nikaskia ni saut ya yule manzi, baada ya story za hapa na pale akaniambia she has realised kuwa I was a true man kwake sema ujana ulimchanganya, sadly akaniambia kuwa kwa sasa yuko Dar es Salaam kwa ndugu yake, anaumwa ugonjwa wa figo na anahisi kama atakufa tu anytime na wale mafogo aliokua nao wakati ule wa nyuma wamemkimbia, anashukuru tu bima aliyonayo ya kazini ndio inamsaidia katika dialysis vinginevyo tungekua tushamsahau.
Kilichoniskitisha ni kuwa ameniambia amegundua mimi ndiye nilikua mwanaume sahihi kwake but unfortunately time is up ila anaomba one chance kwamba kwa ugonjwa unomsumbua nimpe nafasi afie mikononi mwangu coz yuko katika stage mbaya kwa sasa.
Nimejaribu kumshauri sana asikate tamaa. Kaniacha dilemma wakuu, nifanyaje?