Mwanamke niliyemtongoza ameanza kunisema vibaya kwa wengine

Mwanamke niliyemtongoza ameanza kunisema vibaya kwa wengine

Achana nae tafuta mwingine vitu vingine siyo lazima kuomba ushauri unatakiwa kujiongeza tu wewe mwenyewe.
 
kitu nilichojifunza maishani kupitia breakups nyingi ni kuwa am the owner of my own life pia Mimi mwenyewe ndo naweza create thamani yangu kupitia struggle zangu.... Huyo girl nimevuta picha tu nikaona na kanga yake plus manga anaenda shop na vindala vya 6000 mguuni anajikuta sister doo [emoji23]....

muache move on kaa kimya, piga struggle zako and change your ways, usiwe mtu wa kukaa sana mtaani kama huna issue bora ukae home tu.... mtaani kukaa bila shughuli eti na Masela ikiwa too much unadharaulika na mnaonekana wahuni wahuni tu....

Nilikuwa kwenye kipindi kama hichi nikiwa o level, nililia nikasema Wacha nipige kitabu...its 2019 and she is nowhere my league. She is fighting for relegation kama Cardiff... Stay strong man

Sent using Jamii Forums mobile app
Cardif wanabaki ligi kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika viumbe ambao hawaniumiz kichwa ni hawa jinsia ya KE, yani ni mwendo wa chapa ilale tuu. Hilo jibu la eti ww sio wa hadhi yangu sijawahi kutamkiwa na nina amini haitotokea.
Kikubwa hadhi, mvuto na muonekano unautengenez ww mwenyewe
 
Ha ha haaa asanteni kwa ushauri na ushirikiano nita ila mengine burudani
 
Back
Top Bottom