Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

Mwanamke by nature ni mvumulivu sana hasa katika maswala ya ndoa,,,, lakini once akisema inatosha huwa inatosha kweli,,,,,,, huwa hawana point of return,,,,,,ndiyo hapo anapoonekana katili,,,,

Wewe ni itezi ya uyole au itezi dume?
 
Hebu onesha hilo tusi...

Wasiwasi wangu ni kwamba hujui kuwa hata wewe kabla ya kuwa kiumbe hai ulikuwa waogelea kwenye korodani za mdingi wako...

Unajua mbegu za kiume zinapozalishwa wewe?

Hilo sasa ni tusi,ebu jaribu kumjibu kwa hoja maana yeye katoa mtazamo wake hajamtukana mtu hapa.Mambo ya mdingi wake yameingiaje hapa
 
Huwa mkiwasema wanawake vibaya mnawa-include mama zenu na dada zenu.!?

Ndiyo maana yake dada zao,mama zao, shangazi zao pia ni ndugu wa shetani,pia kumbukeni wanawake wanavumilia mengi maumivu yao hugeuka sumu moyoni ndiyo hapa unapata point of no return
 
Naona kana kwamba unajichanganya katika maelezo yako, unakashfu mwanamke tena unataka uongeze mwakamke mwingine.. ina maana huyo uliyetaka kumwongeza si mwanamke anayekojoa akiwa amechuchumaa? labda alikuwa mwingine ndiyo maana akaujibu hivyo kulingana na negative yako kwa wanawake.

Mwanamke angekuwa na roho mbaya hivi, hadi leo ungekuwepo? shukrani ya punda ni mateke?hivi unafikiri ulikuwepo bila kupitia uchi wa mwanamke? hukukaa tumboni mwa mwanmake miezi tisa?Nyoko wewe...., hivi unafikiri jinsi mama yako alivyokuwa anaacha kulala kwa kukubembeleza ili ulale...?PUMBAVU....nakushauri usiwe unawaunganisha wanawake wote.... kila siku uwe na unatumia neno ... baadhi.... umesikia eheee mtoto wa mama.... nyoko....

Asipo elewa hapa akili yake ni nyoko
 
Kwahyo hiyo ni sababu ya Ku conclude ni makatili ungejiuliza ni kwanini wanapatwa na hayo madude mwanamke ni kiungo muhimu sana kwenye jamii na shetani akitaka kuharibu kwenye familia anaanzia na mwanamke ili kuwa rahisi hiyo hoja yako haina mashiko kabisa

Mashiko yapo sema ukweli unauma. Tena amesahau hii wanawake kuishi kwa mashindano na waume zao.
 
Uhm....inategemea lakini.mwanaume anaweza kuzaa nje ya ndoa na baada ya mda mwanamke akaikubali hali,sisi wanaume je?
Mke wako akizaa mtoto nje ya ndoa itakuwaje!....uhmm jaman tuwaache tu hawa wamama!

Kwani wewe kilakitu upon sawa na mwanamke? Hebu tambua tofauti tulizo nazo. Sikuizi wanawake wengine hudharau waume zao kwa sababu mwanaume ana act usawa na mwanamke na wengine eti wanalalamika wanateswa na wake zao huo ni udhaifu usiyo kifani kwani mwanaume ni mtawala na mwanamke ni msaidizi kwa hiyo tujadili tuki tazama pia tofauti zetu kisaikolojia na kibiolojia.
 
Tungekuwa na roho mbaya sidhani kama mama yako angekulea mpaka hapo ulipofika na kuanza kuandika pumba ulizoziandika.

Si wanawake wrote wanafanana na mama yangu. Hasa wanawake wa siku hizi ni katili mno.
 
Ni afadhari kuozea kwenye kondom kuliko kutupwa kwenye jalala ndani ya mfuko wa rambo huku unakufa unashuhudia ukatili wa mwanamk.

Wanaume ndio wanaosababisha mtoto kutupwa jalalani kwenye mfuko wa rambo,kuna mwanamke anayejitia mimba mwenyewe?mwanamke atamstarehesha sana tu mwanaume lakini akishika mimba tu uadui,acheni kuogopa majukumu!
 
wanawake! hongereni! kwa uvumilivu wenu! swala la kutoa mimba ukiliangalia kwa undani linafanywa na mabinti ambao masikini ya mungu hawajajitambua wanayavamia mapenzi wakinasa wenye dhamana hiyo hao waliowapa mimba wanawatosa, kibinti kinaona dunia imekipa kisogo akili haijapevuka solution anaona kutoa mimba au kutupa kichanga sidhani kama mwanamke ana 40 anaweza kutupa mtoto.
wavumilivu na wana upendo mpaka ifike hiyo point of no return ujue kapitia wakati mgumu na tofauti kati ya mwanamke na mwanamke ipo wazi kama ilivyo kwetu wanamume, ukichukua udhaifu wa mwanamke huyu uka include wanawake wote tunakuwa hatujawatendea haki. leo tukichukulia matendo yaliotikisa dunia kwa ukatili nani anaongoza? anza kwa hitler, mussolini, jean badel bokassa na wengine wengi tusihukumu jumla.
 
Alikua anasema kama itatokea.

unatetea uongo
avatar160993_1.gif
 
Mwanamke by nature ni mvumulivu sana hasa katika maswala ya ndoa,,,, lakini once akisema inatosha huwa inatosha kweli,,,,,,, huwa hawana point of return,,,,,,ndiyo hapo anapoonekana katili,,,,

Umesema .... kweli mtupuu
 
Ukatili wa mwanamke unasababishwa na mwanaume hasa kwenye suala zima la mapenzi, na mifano hai ipo
 
Sitaki kuamini kwamba wanaume wote kama sio wengi ni watu wema, hawana hasira, hawawatendei wenzi wao uovu, hata anaposhuhudia anasalitiwa. Wanapotendwa wanawake ni sawa ila wakitendwa wanaume maneno.
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.


Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .
 
Hebu jiweke katika nafasi kama hiyo, mkeo akuulize kuwa akizaa nje ya ndoa utanya nini, je, utamjibu nini ? umkute akiwa na uhusiano na mtu wa nje utamfanya nini. Kama ni mimi ndo utakuwa mwisho wa ndoa. Kwa hiyo, hakuna binadamu anaweza kuvumilia ujinga kama huo awe mwanamke au mwanaume tena kwenye dunia hii yenye maradhi ya kila kuanzia mafua mpka Ebola.

Unajua ndugu yangu ukitaka kujua uhondo wa ngoma ni uingie ucheze sasa unasema upuuzi kama huo eti uzae nje ya ndoa atafanya nini? Sasa ingekuwa wewe mkeo apate mimba ya mwanaume mwingine utampokea na kumwambia hongera mke wangu maana umefanya vyema au utamkata na mapanga acha ujinga wewe roho mbaya au nzuri itategemea na mazingira mtu aliyopo
 
Back
Top Bottom