Unajua ndugu yangu ukitaka kujua uhondo wa ngoma ni uingie ucheze sasa unasema upuuzi kama huo eti uzae nje ya ndoa atafanya nini? Sasa ingekuwa wewe mkeo apate mimba ya mwanaume mwingine utampokea na kumwambia hongera mke wangu maana umefanya vyema au utamkata na mapanga acha ujinga wewe roho mbaya au nzuri itategemea na mazingira mtu aliyopo
Mkuu, lakini katika mada yako umeonyesha kuwa wewe ndiye ulianza kumwuliza upuuzi kama huo, naye akakujibu kuwa usimtakie mada kesi. sasa inakuwaje wewe uanze tena kulalamika kuwa mwanamke ni kiumbe katili...........ilihali wewe ndo ulinza uchokozi