Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Kuna watu bado wana akili mgando kama wanawake wote ni sawa hapana mzeee usiwatie doa wanawake wote.wengi wao wako vizur tu ni wanawake bora kabisa huyo aliekufanya ww kitu kibaya ni ww usichanganye.
 
kuna wakati busara itumike kuelezea mtazamo na fikra zako....tuwaheshimu mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, bibi zetu, mabinti zetu....na wake/wapenzi wetu.....kumuita mwenzio chombo cha starehe ni udhalilishaji tosha.....ni fikra na mtazamo wako,,,just relax ......and go on with your mipango yako ya kujiburudisha kimya kimya....trust me umetukana kivuli chako ...ambacho ni wewe.....God bless you man...
 

Tafuta hela ww usituchoshe na fikra zako fupi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hata mama ako ni starehe kwa baba ako

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…