Mkuu Pujo kwa kuwa uneongea na wewe ni mwanamke nakubaliana na maneno yako yako dhahili na hakika kabisa. Mwanamke anakupenda hata siku moja huwezi kusikia anakusonya, wala huwezi kuona anakukasirikia au kukukashifu kwa lolote. Siku zote anakuona wewe ndiye nguzo yake. Na huduma zote atakufanyia kwa upendo na hata ona kama ni kero. Hata sasa ukiona mwanamke anaona kero hata kukufulia nguo mwanamme wake. Basi ujue uliingia cha kike. Huna mpenzi hapo.
ngoja!! kwanza mkuu, huyo mwanamke labda ni chombo cha starehe kwa maoni yako, sawa.
lakini usiwajumrishe wote kwamba ni vyombo vya starehe.[joke]
kila mtu aamini anachoamini, lakini usijaribu kuaminisha wengine.
Ndio wanaume wengi wa siku hizi, tena mke asiwe na ka kazi kakuingiza miambili miambili basi ndio anachiwa kila kitu ajihudumie.
Alipanick tu kwa vile kapigwa yeyeKwa askari polisi wanawake ni "PUNCHING BAG (MFUKO WA MAZOEZI)"
Ref: Esther Bulaya & Halima Mdee.
Hata dada yako mama ako mdogo mdogo wako unaweza.Apart from my Mom, naweza kura demu yoyote!
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah. Lkn sio useme una kazi kumbe hauna kazi, na haiwezekani uwe na kazi alafu ata vocha unashndw mtumia mpnz wako uki vyombo unakula, haiwzkn kwa ilo jambo.
Mimi hata sina maumivu tena,nimeelewa namna ya kukwepa stress zenu wanawake sitawaruhusu tena mnikoseshe furaha yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana. Kwa uzi wako mzuri..hata vitabu vya dini vimeandikwa wanawake tuishi nao kwa akiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
define chombo.Kwa hiyo mwanamke ni chombo cha taabu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mlemle yaani haiwekani kuwa na mwanaume ukunyandue bure utamvumilia wiki tuu then kifatacho ni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ushawahi kupenda wanaume wangapi bila kugharamiwa? Sema..Ndo ukweli huo hajampenda. Mkuu mi nakwambia wanawake sisi akili zetu tunazijua wenyewe, akikupenda sana ww ata usipomuhonga sawa tu kwake, anaweza ata akajilipia mahari ili tu aolewe na wewe,na anaweza ata akaiba pesa kwa baba ake ili tu akupe ww kwasbb ya upendo tu. Anaweza beba chakula kwa poti kutoka mbezi mpk tandale ili tu akuletee chakula ule, usicheze na mtu anayeitwa mwanamke ndg yng. Ukiona anakukashfu kwa maneno machungu ujue kuwa huyo hakupendi narudia tena hakupendi bali anapenda kitu fulani toka kwako,ata ukiondoka haoni tabu wala kuhs amepungukiwa na kitu. Dah!! Wanawake sisi mpk tunajiogopa ahahaha
Sahihi mkuuAhsante sana. Kwa uzi wako mzuri..hata vitabu vya dini vimeandikwa wanawake tuishi nao kwa akiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya bure hutayapata popote mkuuKwaiyo hakuna mapenzi yasiyo na pesa.
121.
Duh Taratibu rafiki...Hapo kwa Mama funga breki!!Kama unaweza kumla hata binti yako utashindwaje mama ako si ana k tu Kama hao wengine,.
Hapa nimekubaliana na wewe kabisa,,,Ndo ukweli huo hajampenda. Mkuu mi nakwambia wanawake sisi akili zetu tunazijua wenyewe, akikupenda sana ww ata usipomuhonga sawa tu kwake, anaweza ata akajilipia mahari ili tu aolewe na wewe,na anaweza ata akaiba pesa kwa baba ake ili tu akupe ww kwasbb ya upendo tu. Anaweza beba chakula kwa poti kutoka mbezi mpk tandale ili tu akuletee chakula ule, usicheze na mtu anayeitwa mwanamke ndg yng. Ukiona anakukashfu kwa maneno machungu ujue kuwa huyo hakupendi narudia tena hakupendi bali anapenda kitu fulani toka kwako,ata ukiondoka haoni tabu wala kuhs amepungukiwa na kitu. Dah!! Wanawake sisi mpk tunajiogopa ahahaha