Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

ngoja!! kwanza mkuu, huyo mwanamke labda ni chombo cha starehe kwa maoni yako, sawa.
lakini usiwajumrishe wote kwamba ni vyombo vya starehe.[joke]

kila mtu aamini anachoamini, lakini usijaribu kuaminisha wengine.
Mkuu chukua ushauri wangu ,ukipuuzia sawa ila ipo siku utakuja kukumbuka maneno yangu, ukiwachukulia serious kwny maisha yako utakufa mapema [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mlemle yaani haiwekani kuwa na mwanaume ukunyandue bure utamvumilia wiki tuu then kifatacho ni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Thread yangu bora kabisa kwa mwaka 2020 sidhani kama kuna thread nyingine bora itakayokuja mpaka mwaka unaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndiyo mentality zinafanya muliwe tuu baaaas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods mmebadilisha heading ya uzi wangu,kwn ilikuwa inashida gani? Ilikuwa NI KWELI MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE

Nyie mmeipunguza makali
Mimi nimeamini kauli yangu hiyo maana ndo fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…