Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Apart from my Mom, naweza kura demu yoyote!
Watu huwa mnaongea bila kufikiri kuwa hao hao wanawake ndio mama zenu, mabinti zenu, dada zenu, shangazi zenu, ndugu na jamaa zenu.

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Asante mkuu kwa kuligundua hilo.
Sasa umekuwa mwanaume kamili. Wee kamatia mrembo burudika nae mambo ya kujidanganya sijui tujenge future waachi watoto wa chuo na hizo mentality.
Cha maingi mwanawane tafuta ndalama uwagegede kama mswati.... Anafaudu yule jamaa acha tuu.
 
Mimi nimeongelea wanawake siwezi kuficha ukweli kwasababu kuna shangazi na dada zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu huwa mnaongea bila kufikiri kuwa hao hao wanawake ndio mama zenu, mabinti zenu, dada zenu, shangazi zenu, ndugu na jamaa zenu.
Kuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jambo
Nyie ndio wale kisa ni mtoto wako eti hutaki kumuita mwizi wakati niwizi... Ila mtoto wa mwenzio ndio wakwanza kumchoma moto.
 
Kuwa ndugu mama aunty sister haibadilishi jambo
Nyie ndio wale kisa ni mtoto wako eti hutaki kumuita mwizi wakati niwizi... Ila mtoto wa mwenzio ndio wakwanza kumchoma moto.
Irrelevant.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana unaambiwa usijikweze, kama huna kazi sema sina kazi alafu mwanamke mwnyw ndiyo atajua kuwa akupende au lah. Lkn sio useme una kazi kumbe hauna kazi, na haiwezekani uwe na kazi alafu ata vocha unashndw mtumia mpnz wako uki vyombo unakula, haiwzkn kwa ilo jambo.
Wewe unaweza kukubali kumilikiwa na mwanaume alafu asikuhudumie? tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyoandika unaonekana bado una maumivu kwahiyo umeamua kutoa hizi kejeli ili kupunguza machungu, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…