Ukielewana nao mimi sina amri juu yao.[emoji1787][emoji1787]kwaiyo hata mimi nikija kwenu utanikaribisha vzr niingie nimegegede mama ako na wanawake wote waliopo nyumbn kwenu? Si ni vyombo tu vya starehe
tatizo wanadamu ni wabishi sanaa hawataki kabisa kukubaliana na nature inavyotaka tuishi ,ndio maana leo hii kuna campaign za 50/50 tukidhani zinajenga kumbe kimsingi zinaharibuUmeandika ka kifupi sana makusudio yangu.
Big up Mkuu.
Wanaume wanatafuta pesa ili wamiliki wanawake.
Wakati huo huo na wanawake wanatafuta wanaume ili wamiliki pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Napita tuNdo nakuuliza kwa mujibu wa nani ukisema chombo cha starehe ati ni udhalilishaji ?
Kwani Mtu akisema "nimepata chuma hicho hatarii" akikusudia kumsifia mwanamke hapo mwanamke anakuwa chuma au chuma ni kama sifa ?
Mtu akisema "nimevuta jiko la ukweli" akikusudia mwanamke ameoa hapo mwanamke anakuwa jiko kweli au huo ni mfano wa sifa tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Kuna sehemu nilisoma kwa waislam....kunyonyesha mtoto siyo jukumu la lazima kwa mama mzazi....na akimnyonyesha mtoto huyo basi ana haki ya kudai malipo kutoka kwa baba mzazi [emoji2960]Mamaako alivyokuzaa na kukunyonyesha kazi yake ilikua ndio hiyohiyo starehe au
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu umempa hadhi mwanamke....tofauti na imani zingine zinavyofikiria...hata kazi za nyumbani inatakiwa umuwekee msaidizi kazi YAKE yeye akupe tunda tu....ajipambe,ukirudi toka kazini akupokee vizuri,akupe maneno mazuri ya kukuliwaza na akuzalie watoto.Dah...Kuna sehemu nilisoma kwa waislam....kunyonyesha mtoto siyo jukumu la lazima kwa mama mzazi....na akimnyonyesha mtoto huyo basi ana haki ya kudai malipo kutoka kwa baba mzazi [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Uislamu umewanyanyua sana wanawake miaka mingi sana iliyopita...huko bara Arab wazazi walikuwa wakizaa watoto wakike wanawazika wakiwa hai wakidai hawana faida katika jamii...uislamu ndiyo ulikuja kupigania na kukomesha unyanyasaji huo.Nami nimegundua..waleee!...hakuna dini inayowadharau wanawake km waislam sijui kwann!
Ndugu usione watu wamekulike ukadhani wanakusapoti ni kwasababu mambo wayanayo kitana nayo kwenye uhusiano ni sio sawa na kwenye ndotoNafahamu kutatokwa povu kubwa sana na wwtu lakini ukweli huu acha tuubainishe.
Manamke ni kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya yetu ili tustarehe nao.mwanamke hakuumbwa ili aje atupe shida na dhiki bali atupe raha na furaha.
Ndio maana leo kuna makahaba wale lengo lao sio kuwapa dhiki wanaume bali kuwapa raha na starehe wanaume.
Ndio maana kuna mahari yanatoka ambayo hata mama wa mwanamke haruhusiwi kuichukua kwa nguvu kwa sababu yeye alishakula mahari yake kwa mumewee.
Ndio maana dini inayoelewa hii ikatoa ofa uwe na wawili watatu mpaka wanne.
Sasa tokea lini kitu cha starehe tuwekewe limit kwamba uwe nacho kimoja tu?
Mfano gari na watoto ni vitu vinatupa starehe na furaha kwetu kwa hiyo kama ambavyo unaruhusiwa kuwa na watoto na magari mengi basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na wake wengi.
Kama ambavyo unaruhusiwa kula machungwa zaidi ya moja kwa sababu linakupa raha basi pia ndo kuna ruhusa ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Mwanamke ni chombo cha kutustarehesha na kutupa raha na wala sio chombo cha kutuudhi na kutupa dhiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napita tu
Ndugu usione watu wamekulike ukadhani wanakusapoti ni kwasababu mambo wayanayo kitana nayo kwenye uhusiano ni sio sawa na kwenye ndoto
Uislamu umempa hadhi mwanamke....tofauti na imani zingine zinavyofikiria...hata kazi za nyumbani inatakiwa umuwekee msaidizi kazi YAKE yeye akupe tunda tu....ajipambe,ukirudi toka kazini akupokee vizuri,akupe maneno mazuri ya kukuliwaza na akuzalie watoto.
Hata waislamu wenyewe hayo maamrisho wengi hawayafati,dini ya uislamu inamtambua mwanamke kama pambo LA ndani ya nyumba yako we we mume,hata haya maswala ya kuemea anatakiwa aende mwanaume....lakini wanaruhusiwa kushiriki mambo mbali mbali ya kijamii.
Ukitumia neno chombo wanaona unawadhalilisha!!!....labda utumie 'mwanamke ni pambo LA kumstarehesha mumewe' hata hivyo bado utaonekana ni mdhalilishaji wanawake pia....ukweli ndiyo huo.Sahihi kabisa.
Nilipata kujifunza mwanachuoni mmoja wa suudia akisema ya kuwa kuna khilaaff baina ya ahlul ilmu juu ya kuwa mwanamke ni wajibu kumhudumia mumewe kwa kazi za nyumbani ama sio wajibu nikaona hakuna kauli inayosema kuwa ni laIma apike,afue akoshe vyombo n.k
Haya yanadhihirisha kuwa mwanamke shughuli. Yake kubwa ni kumstarehesha mumewe,kujipamba kwa ajili ya mumewe n.k
Haya yapo wazi ila tatizo watu wameshapandikizwa chuki juu ya hii kauli mpaka imefika hatua ukisema hivyo watu wanaona ya kuwa unadhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa.
Nilipata kujifunza mwanachuoni mmoja wa suudia akisema ya kuwa kuna khilaaff baina ya ahlul ilmu juu ya kuwa mwanamke ni wajibu kumhudumia mumewe kwa kazi za nyumbani ama sio wajibu nikaona hakuna kauli inayosema kuwa ni laIma apike,afue akoshe vyombo n.k
Haya yanadhihirisha kuwa mwanamke shughuli. Yake kubwa ni kumstarehesha mumewe,kujipamba kwa ajili ya mumewe n.k
Haya yapo wazi ila tatizo watu wameshapandikizwa chuki juu ya hii kauli mpaka imefika hatua ukisema hivyo watu wanaona ya kuwa unadhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona sasa watumiaji wa vyombo mumekutana nadhani hakuna kinacho haribika kila kitu kinakwenda sawasawa.Ukitumia neno chombo wanaona unawadhalilisha!!!....labda utumie 'mwanamke ni pambo LA kumstarehesha mumewe' hata hivyo bado utaonekana ni mdhalilishaji wanawake pia....ukweli ndiyo huo.
Wanaona tunawadhalilisha kwa sababu kuna ambao walitumia hivyo kwa udhalilishaji.Ukitumia neno chombo wanaona unawadhalilisha!!!....labda utumie 'mwanamke ni pambo LA kumstarehesha mumewe' hata hivyo bado utaonekana ni mdhalilishaji wanawake pia....ukweli ndiyo huo.
Naona sasa watumiaji wa vyombo mumekutana nadhani hakuna kinacho haribika kila kitu kinakwenda sawasawa.
Bila Pesa huwezi oaSijasoma thread yako so najibu headline tu....
Na starehe siku zote ni gharama so muwe mnahonga kweli kweli, na mhonge kiroho safi.
Tafsiri hapo ndiyo tatizo....Mwanamke ni MTU aliyeumbwa kwa lengo maalumu LA kumstarehesha mwanaume.Naona sasa watumiaji wa vyombo mumekutana nadhani hakuna kinacho haribika kila kitu kinakwenda sawasawa.
Ya.Wanaona tunawadhalilisha kwa sababu kuna ambao walitumia hivyo kwa udhalilishaji.
Lakini hili jambo lipo wazi
Sent using Jamii Forums mobile app