Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Tulia wewe acha porojo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porojo ni maneno yako.

Sina cha kujadili na mutu kama weye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimenukuu Aya ya Qur'an na namba zake nimeweka.

Naona wewe ndiye unahororoja na kubwabwaja bila mpango.

Labda mama'ko ndio starehe ya wanaume.

Qur'an inatufundisha kuwa mwanamke ni stara kwa mwamme na mwanamme ni stara kwa mwanamke.

Hayo mengine ya "mwanamke kuwa ni starehe ya mwanamme" itakuwa umejifunza kutokana na mamako.
 
Acha porojo zako na kujitetea.

Sina muda wa kujadili na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha perception za kimtaani wala haziwezi kukufikisha popote, muondoe mama yangu kwenye mawazo yako ya kipuuzi, kama unaona kwako ni sawaa kumtaja mzazi wako kwenye kashifa. do it for your own

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha perception za kimtaani wala haziwezi kukufikisha popote, muondoe mama yangu kwenye mawazo yako ya kipuuzi, kama unaona kwako ni sawaa kumtaja mzazi wako kwenye kashifa. do it for your own

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama vipi mtoe mama wa kwako na umbadilishe jinsia.

Ila ukweli ni kuwa starehe ya Ngono ndo ilikuleta wewe hapa kupitia mama zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata hao waislam anapojaribu kuongeza mwingne yule mke anakua hana aman kabisa ona yaliotokea zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa amejifunza dini yake angeona kawaida mumewe kuwa na mke wa pili.

Ila tatzo na wanawake nao wanaanza kujazana sumu baadhi yao waislamu wasioelewa dini wanaanza kujazana chuki kuhusu uke wenza matokeo yake ndo haya.

Lazima watu waelimishwe uislamu tokea zamani ili wakikua wasione mateso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwasilishaji umekua na ukakasi kidogo ila una hoja nzuri tu,kiufupi ni kuwa starehe kuu ya mwanaume ni mwanamke (wanawake), lakini starehe ya mwanamke sio mwanaume au wanaume. na ni dhahiri moja kati ya kazi muhimu sana ya mwanamke hapa duniani ni kumpa starehe mwanaume.wala hilo halifanyi kumshushia hadhi mwanamke kama wengi wanavyotafsiri kwa kutumia neno chombo cha starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika ka kifupi sana makusudio yangu.

Big up Mkuu.

Wanaume wanatafuta pesa ili wamiliki wanawake.

Wakati huo huo na wanawake wanatafuta wanaume ili wamiliki pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo unamaanisha mama ako ni chombo cha starehe cha babaako na wadau wengine wote waliowahi kumgegeda?
 
Chombo Cha Starehe ni udhalilishaji! Mtu kuwa Chombo ni udhalilishaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nakuuliza kwa mujibu wa nani ukisema chombo cha starehe ati ni udhalilishaji ?

Kwani Mtu akisema "nimepata chuma hicho hatarii" akikusudia kumsifia mwanamke hapo mwanamke anakuwa chuma au chuma ni kama sifa ?

Mtu akisema "nimevuta jiko la ukweli" akikusudia mwanamke ameoa hapo mwanamke anakuwa jiko kweli au huo ni mfano wa sifa tu ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…