Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Wewe umeelewa.

Atarehe yetu kubwa hapa duniani ni wanawake,hakuna starehe tamu zaidi ya hiyo.

Na ndio maana hiyo starehe ikawa ndo njia ya kupata watoto,laiti watoto wangekuwa wanapatikana kwa kulima na kufanya mazoezi basi leo dunia pengine isingekuwa na mtu kwa sababu mambo hayo sio starehe ni tabu tupu,na binadamu hawapendi tabu kwa hyo watoto wangepungua sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umegeneralize, mwanamke ni Chombo Cha Starehe! Wew ni Chombo Cha nn? Au hoja yako ililenga nn? Kwamba mwanamke ni Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hili swali kwanza.

Kwanza nikuulize ya kuwa kwa mujibu wa nani ati ukisema mwanamke ni chombo cha starehe ati maana yake umemshusha thamani na kumdhalilisha ?

Kwani nikisema baba ndio mhudumu wa watoto utasema kuwa nimedai kazi ya baba ni moja tu ati kwa kuwa sijataja kazi zingine za baba ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mwanamke huyohuyo anapozaa na kumuua mtoto ili aolewe, au anapozaa na kutupa kichanja inamchukuliaje
Anakupa starehe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chombo Cha Starehe ni udhalilishaji! Mtu kuwa Chombo ni udhalilishaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah! Hilo la kustarehe wew ndo unakuwa nalo kichwani! She is in business, you're for excitement! It's not her business to know whether you're excited or not!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nimekuambia kuwa mwanamke ni chombo cha starehe kwa maana ya sisi wanaume tunafahamu fika ya kuwa wao ndio starehe yetu.

Kahaba pale hastarehe hata kidogo yeyr anataka pesa,ila mwanaume anaponunua kahaba anaenda kutafuta starehe ili apige goli aende zake.


Hapo utagundua kuwa mwanamke anauwezo wa kukustarehesha wewe kupitia uke wake wakati huo huo yeye hapati starehe yeyote ile.
Hapo ndo mana nasema wanaume starehe yetu kubwa ni wanawake kuliko wanawake walivyokuwa starehe yao kubwa ni sisi.

Sisi tunawahitaji zaidi wao ili tustarehe kuliko wao wanavyotuhitajia sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway, ni maoni yako! Kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali jepesi kwako.

Mama yako alistarehesha mtu hadi ukazaliwa wewe?
 
Unatoka usukumani?
 
Uonaonesha huujuwi Uislam. Ni wapi hapo ulipoambiwa katika Uislam kuwa "mwanamke ni chombo cha kukustarehesha"?

Halafu unaweka mifano ya "makahaba" na ufuska kuuelezea Uislam?! Umepotoka kabisa kijana kuliko hata ule upuuzi wako wa "adhabu ya kaburi".

Qur'an ndiyo kitabu pekee chenye kauli ya ..."basi oeni mmoja tu”...

Sijui punguani kama wewe kuwa unalielewa hilo. Rejea Qur'an 4:3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…