Decapitator
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 311
- 79
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Kuna mambo ambayo nimeweza kuyaona hapa kwa haraka kutoka kwako mtoa mada
1.Hupendi challenge
2. Kujiamini kidogo tatizo
3. Ubinafsi wa knowledge, uli uweze kua juu siku zote
Ila kwa wanawake na nyie mjifahamu sasa, ukifanya JF na facebook ndio drip yako ya uhai.... Haitachelewa kua mme wako pia.
mkuu unadhani wake zetu zamani walikuwa haangalii mitandao(ila sio hii ya facebook na instagram)tatizo mitandao wanayoingia now days na watoto wa dotcom na wasio na maadili!!!!siku hizi eti hata bongo wametengeneza website za ngono/AKIINGIA HAPO MMU ndio usiseme anakutana na lile janamke linalosapoti umalaya kwa wanawake kwa kigezo eti kupinga mfumo dume!!!!!afu na mijanamke kibao iliyoshindwa kuwa watu wema na bora ambao wameamua kuharibu wengine either kwa kujua au kwa kutokujua!!miatandao hata kama hana intention ya kusoma ujinga ila akiclick tuu hapo kwenye new posts kila saa anakutana na vichwa vya habari vinahusu tuuu kuliwa 0713,0714,0716 na mafumanizi hatakuwa interested but ipo siku ataona ngoja nisome(human nature sitaki mtu apinge)mara bahati mbaya akiwa mmoja wa wale watakaokuwa interested basi tena kila siku atakuwa anaosma hayo madudu mara atataka kujaribu labda baada ya kuongelea sana um,alya na kuona kitu cha kawaida mara kila cku anaona flani kafumaniwa mara flani kafumaniwa mwisho uoga unamtoka wa kufamaniwa anaanza kuamini kucheat ni lazima na kufumwa ni bahati mbaya!!!!!si unajua siku hizi watu kutoka hata kwa magazeti sio ishu tena!!!!too much of enithing is hamfulu!!!!!kwa hiyo hizi social kuna ujinga mwingi mbaya zaidi kuingia kwenye yale makundu(magroup) yao ya kiseng,e yale afu wanadiscus use.nge tuu!!sitaki kabisa kusikia wanawake wa namna hii
.....Mimi naamini wanachocmment huku ndo maisha halisi yalivyo.....kama watu wanajitambua na watu wazima....huoni zikipostiwa thread mtu Fulani akicoment tofauti tu na wote wanamuiga.....labda watu wabadilike.....Mtu anayejua anachokitaka na mwerevu hakai akafundishwa tabia mbaya huyo atakuwa zumburukuku...Mimi nina high principles zangu kama wenginevyo walivyo na zao na sikai nikashawishika kwamba mapenzi bila pesa hayaendi wakati najua yanaenda la muhimu ni mapenzi ya dhati na ushirikiano kutoka pande zote mbili!!!SIMPLE AND CLEAR!!Walokuwepo humu asilimia kubwa ni watu walopevuka kiakili na wanajua wanachokifanya!!Hii ni karne ya 21 mkuu!!
...yah haitakiwi hata kwa mwanaume......ivi mwanaume anaweza kupost picha instagram au facebook amekaa uchi au nusu uchi...?too much is harmful. sio kwa wanawake tu hata wanaume. ukiwa na mume anashinda mitandao nayo inakera. mambo mengine ni makubaliano kati ya watu wawili.
Aisee maybe you should start reading my comments!!I recommend..Cause i say what i want to say not coz anybody said it even if it separates my opinion from everybody else..But i stand by what i mean and say!!.....Mimi naamini wanachocmment huku ndo maisha halisi yalivyo.....kama watu wanajitambua na watu wazima....huoni zikipostiwa thread mtu Fulani akicoment tofauti tu na wote wanamuiga.....labda watu wabadilike.....
...yah haitakiwi hata kwa mwanaume......ivi mwanaume anaweza kupost picha instagram au facebook amekaa uchi au nusu uchi...?
Watu wanabadili ulimwengu kwa namna nying san kuna semina nying sana zinaendeshwa maeneo mbalimbali watu wa act in +ve way morally lkn daily negativity zinaongezeka wakat hakuna hata semina zake hujiuliz tu kumbe watu wana immitate kwa kuona, kuckia na kusoma hivyo mitandano ina nguvu kubwa sana na ke ndo sehemu kubwa ndo wanakuwa jiran na watoto ndan ya familia zetu ndo ugomvi unaanza kisa kasoma njia za kupretend kwa mumewe anapokuwa kakosa
...Fanya uchunguzi utagundua tu...lakini sishangai ndo vijana wengi wa kitanzania tulivyo...Aisee maybe you should start reading my comments!!I recommend..Cause i say what i want to say not coz anybody said it even if it separates my opinion from everybody else..But i stand by what i mean and say!!
Najimin sana sema weng wenu lazma mzungumzie ushabiki co uhalisia nachoamini self actualization kama inaenda poa mengne ziada
....Kujiamini ni kumwacha mwanamke ...awe anapost kila kitu kinachotokea kwenye ndoa mmu...kama yule kapigwa kibao tu kakimbila mmu kupost...alafu wakatii mwingine ni ushamba kuliko ujanja zaidi kama mnavyo fikiria......angalia definition ya KUJIAMINI vizuri
^^
Ashinde online! Alale online! Atafute relations online! Alete principles za online ktk ndoa!..
Mwanaume akilalamika useme hajiamini?
^^
......kujiamini ni kuto kua makini na principle na mke au girlfriend wako...!!?? labda sijuii maana ya kujiamini....relation ship bila strict principals ni kero na fujo...with very low stabilityBoys boys boys!
Wala tusiende mbali. Angalia posts zangu ni ngapi na ngapi zinaelezea maisha yangu. Tatizo sio mtandao, tatizo ni huyo unaemuongelea. Mbona kuna wakaka tunakaa nao vijiweni na ndoa zao ndo main topic kila tukikutana? Akili ni nywele bwana. Mwanaume anaejiamini anajua jinsi ya kudeal na kuongea na mwanamke wake bwanaa. Hii mitazamo yenu haina tofauti na kumzuia mke kufanya kazi ili asitongozwe. Anaweza akawa mama wa nyumbaninna akatongozwa na muuza duka, muuza nyanya ama muuza samaki na bucha!
......kujiamini ni kuto kua makini na principle na mke au girlfriend wako...!!?? labda sijuii maana ya kujiamini....relation ship bila strict principals ni kero na fujo...with very low stability
Boys boys boys!
Wala tusiende mbali. Angalia posts zangu ni ngapi na ngapi zinaelezea maisha yangu. Tatizo sio mtandao, tatizo ni huyo unaemuongelea. Mbona kuna wakaka tunakaa nao vijiweni na ndoa zao ndo main topic kila tukikutana? Akili ni nywele bwana. Mwanaume anaejiamini anajua jinsi ya kudeal na kuongea na mwanamke wake bwanaa. Hii mitazamo yenu haina tofauti na kumzuia mke kufanya kazi ili asitongozwe. Anaweza akawa mama wa nyumbaninna akatongozwa na muuza duka, muuza nyanya ama muuza samaki na bucha!