Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Ha ha ha ME LIKE THIS!!Inaonekana wewe unaogopa kufamaniwa kwenye mtandao!
It happens, nilishawahifumaniwa Jf, nili log in Jf nikasahau ku sign out, tena mbaya zaidi nilitumia simu yake, yangu haikuwa na chaji, kilichotokea hapo, naye amejiunga Jf, Id yangu anaifahamu, kila ninachokomment lazima akisome!
Pia its not fair me na ke wote mpo mitandaoni kila mtu kuandka kilichomtokea cku hyo ofisin, chumban, nk inapoteza umakini wa kushughulikia matatizo yanayowahusu na hasa ke kuona mtandao ndo suluhisho la tatizo alilonalo
mwenzangu hebu niulize. hivi mwanamke kutumia mitandao ya kijamii si sawa ila mwanaume ni sawa? huyu mtoa mada anafikiri kwa kutumia nini? mbona kutwa wanaume wamo humu ndani kutaka ushauri kuhusu ndoa zao au haki ni yao tu.Wanaume hamna JEMA ninyi.....
Sasa mnataka tuwe kiguu na njia? Leo kwa shost Halima, kesho kwa Shost Aisha, mara vikao vya kinadada visivyo na tija (Mashauzi Classic.Sosi Heaven on earth) khaaaaa!!!! Bora nishinde zangu JF 24/7 ila niko home....
Hao unaosema wasioijua mitandao ya kijaamii ndo kwanza kutwa kucha kiguu na njia, kusutana na ngoma juu, ushambenga na umbeya mtaa kwa mtaa!
Idumu MITANDAO YA KIJAMII......
C C Smile , Heaven on earth, atug, DEMBA
Unaonekana tu...
Maana ikifika wakati wa majamboz utakuwa unamuomba hubby wako msome kwanza mambo ya Jukwaa la Wakubwa...
Halafu ukifika wakati wa kutengeneza madikodiko, mahanjumati, mavyapativyapati hapo JF Chef lazima ihuuu...
n.k
Wanawake wa kuaminiwa wako wapi siku hizi King'asti , au unaishi texas nini? bongo hii...tena daslama.....kiruuu.
Kumbe unaongea hivyo kwa sababu ya ushemeji..!! ila ukweli ushamaba wa mitandao ni mkubwa jf-mmu inaweza isiwe sana...lakini face book ni sana...mtu hata kama anasaidiwa kukata kachumbari atapost...tuna kata kachumari na picha za ajabu ajabu...unakuta mtu kaolewa lakini picha kila dakika kila saa tena za ajabu ajabu.(maisha ya chuo kwenye ndoa).....kukataa haya sio kipimo cha kujiamini kwa mwanaume ila ni KIPIMO cha MWANAUME anayetaka FAMILA bora yenye mkee nna mume na WATOTO wenye maadili na MKE na MUME wanaoishi Kkama MATURED people....HUYO MNAEMSIFU ANAJIAMINI MNAMSIFU UJINGA tu
..Ni kweli kabisa mkuu....ni tabia ambayo inakuwa kila siku... na wakati mwingine unaona wanafundishana mabo ya ajabu kabisa humu....mapenzi na pesa nkPia its not fair me na ke wote mpo mitandaoni kila mtu kuandka kilichomtokea cku hyo ofisin, chumban, nk inapoteza umakini wa kushughulikia matatizo yanayowahusu na hasa ke kuona mtandao ndo suluhisho la tatizo alilonalo
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
mwenzangu hebu niulize. hivi mwanamke kutumia mitandao ya kijamii si sawa ila mwanaume ni sawa? huyu mtoa mada anafikiri kwa kutumia nini? mbona kutwa wanaume wamo humu ndani kutaka ushauri kuhusu ndoa zao au haki ni yao tu.
Wanaume hamna JEMA ninyi.....
Sasa mnataka tuwe kiguu na njia? Leo kwa shost Halima, kesho kwa Shost Aisha, mara vikao vya kinadada visivyo na tija (Mashauzi Classic.Sosi Heaven on earth) khaaaaa!!!! Bora nishinde zangu JF 24/7 ila niko home....
Hao unaosema wasioijua mitandao ya kijaamii ndo kwanza kutwa kucha kiguu na njia, kusutana na ngoma juu, ushambenga na umbeya mtaa kwa mtaa!
Idumu MITANDAO YA KIJAMII......
C C Smile , Heaven on earth, atug, DEMBA
Mtu anayejua anachokitaka na mwerevu hakai akafundishwa tabia mbaya huyo atakuwa zumburukuku...Mimi nina high principles zangu kama wenginevyo walivyo na zao na sikai nikashawishika kwamba mapenzi bila pesa hayaendi wakati najua yanaenda la muhimu ni mapenzi ya dhati na ushirikiano kutoka pande zote mbili!!!SIMPLE AND CLEAR!!Walokuwepo humu asilimia kubwa ni watu walopevuka kiakili na wanajua wanachokifanya!!Hii ni karne ya 21 mkuu!!..Ni kweli kabisa mkuu....ni tabia ambayo inakuwa kila siku... na wakati mwingine unaona wanafundishana mabo ya ajabu kabisa humu....mapenzi na pesa nk
mwenzangu hebu niulize. hivi mwanamke kutumia mitandao ya kijamii si sawa ila mwanaume ni sawa? huyu mtoa mada anafikiri kwa kutumia nini? mbona kutwa wanaume wamo humu ndani kutaka ushauri kuhusu ndoa zao au haki ni yao tu.
Wanaume hamna JEMA ninyi.....
Sasa mnataka tuwe kiguu na njia? Leo kwa shost Halima, kesho kwa Shost Aisha, mara vikao vya kinadada visivyo na tija (Mashauzi Classic.Sosi Heaven on earth) khaaaaa!!!! Bora nishinde zangu JF 24/7 ila niko home....
Hao unaosema wasioijua mitandao ya kijaamii ndo kwanza kutwa kucha kiguu na njia, kusutana na ngoma juu, ushambenga na umbeya mtaa kwa mtaa!
Idumu MITANDAO YA KIJAMII......
C C Smile , Heaven on earth, atug, DEMBA
Idum siku zote.....jana leo na kesho Amin
kwani kila alieko online anatumia for negativity!!!!wanaogopa challenge za maisha tu
kuna watu hum wameolewa na ndoa zao vizuri saana...na JF wako kama kawa
Shost ndo ushangae... Ni bora nishinde humu kuliko kwenda kuuza sura Bar, Salon n.k sehemu ambazo kuna umbeya uliokithiri!!!
too much is harmful. sio kwa wanawake tu hata wanaume. ukiwa na mume anashinda mitandao nayo inakera. mambo mengine ni makubaliano kati ya watu wawili.....Kujiamini ni kumwacha mwanamke ...awe anapost kila kitu kinachotokea kwenye ndoa mmu...kama yule kapigwa kibao tu kakimbila mmu kupost...alafu wakatii mwingine ni ushamba kuliko ujanja zaidi kama mnavyo fikiria......angalia definition ya KUJIAMINI vizuri
Umetusahau na wengine tunawake....tumetulia vizuri tu.
Inaonekana wewe unaogopa kufamaniwa kwenye mtandao!
It happens, nilishawahifumaniwa Jf, nili log in Jf nikasahau ku sign out, tena mbaya zaidi nilitumia simu yake, yangu haikuwa na chaji, kilichotokea hapo, naye amejiunga Jf, Id yangu anaifahamu, kila ninachokomment lazima akisome!
Mtu anayejua anachokitaka na mwerevu hakai akafundishwa tabia mbaya huyo atakuwa zumburukuku...Mimi nina high principles zangu kama wenginevyo walivyo na zao na sikai nikashawishika kwamba mapenzi bila pesa hayaendi wakati najua yanaenda la muhimu ni mapenzi ya dhati na ushirikiano kutoka pande zote mbili!!!SIMPLE AND CLEAR!!Walokuwepo humu asilimia kubwa ni watu walopevuka kiakili na wanajua wanachokifanya!!Hii ni karne ya 21 mkuu!!