Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

The pervasive nature and influence of the internet renders almost everyone unsafe when it comes to exclusivity, in terms of dating and marriages.

That being the nature of the beast, one ought to approach romantic relationships carefully by not fully letting his or her guard down and hold in the back of his or her mind the possibility of betrayal at some point during the life of that relationship.

I'd rather be caught prepared than not. So I psych myself up for what is seemingly the inevitable these days. If it befalls on me, I'll be ready. If it doesn't, then it's all gravy.

I just hate to be caught off guard.
 


Gud idea ila mwingne anaweza kuwa anakupenda lkn hulka yake ndo hiyo mitandaon kila kitu kinachofanyika ndani kina kajua yote
 


nashukuru kunisaidia kudadavua Siafu dume
 

Wanaume hamna JEMA ninyi.....

Sasa mnataka tuwe kiguu na njia? Leo kwa shost Halima, kesho kwa Shost Aisha, mara vikao vya kinadada visivyo na tija (Mashauzi Classic.Sosi Heaven on earth) khaaaaa!!!! Bora nishinde zangu JF 24/7 ila niko home....

Hao unaosema wasioijua mitandao ya kijaamii ndo kwanza kutwa kucha kiguu na njia, kusutana na ngoma juu, ushambenga na umbeya mtaa kwa mtaa!

Idumu MITANDAO YA KIJAMII......

C C Smile , Heaven on earth, atug, DEMBA
 
Last edited by a moderator:


You will know when you have it" by Plato
 
Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi

Wanawake wa kuaminiwa wako wapi siku hizi King'asti , au unaishi texas nini? bongo hii...tena daslama.....kiruuu.
 
basi mie sintoolewa kabisaaaaa

Unaonekana tu...

Maana ikifika wakati wa majamboz utakuwa unamuomba hubby wako msome kwanza mambo ya Jukwaa la Wakubwa...

Halafu ukifika wakati wa kutengeneza madikodiko, mahanjumati, mavyapativyapati hapo JF Chef lazima ihuuu...

n.k
 
...Umeandika vizuri sana....lakini yale mambo ya kuandika kila kitu kinachotokea kwenye ndoa au mahusiana ni mbaya sana...na face bookhua nashanga mwanamke km ameolewa au na mchumba wanaheshimiana -huwa wanapost picha wamekaaa uchi kwa nini..?


Pia its not fair me na ke wote mpo mitandaoni kila mtu kuandka kilichomtokea cku hyo ofisin, chumban, nk inapoteza umakini wa kushughulikia matatizo yanayowahusu na hasa ke kuona mtandao ndo suluhisho la tatizo alilonalo
 
Ingia utumie soma comment za watu utajua nin kinajadiliwa huenda we hupo instagram mwenz wako yupo huko hatua moja mbele

hupo ndiyo nini.
Sina mwenza.
 

Kwa mtazamo wako akina Fixed Point King'asti .........nakadhalika hawa siyo mawaifu matilio?
 
Kwa mtazamo wako akina Fixed Point
King'asti .........nakadhalika hawa siyo mawaifu matilio?

Uaminifu ni siri ya mtu moyoni mwake.

Kwa mke mwenye mume na watoto sidhani kama atakuwa na muda wa kushinda JF muda mwingi. Vivyo hivyo kwa mume.

Kwa hiyo hapo tumia za kwako na changanya na za wengine. Wazungu husema go figure!
 
kwa hiyo inamaana wanawake hawana uhuru wa kutumia vyombo hivyo
na inaonesha wewe umetudharau sana tena unasema kuwa sie ni...........
nimeweka red hapo uelewe
hebu tengua kauli yako na utuombe radhi sasa huwezi kutupangia mipaka kiihivyo.

 
unataka kunambia wale ke walioko hapa hawataolewa ama walioolewa wataachika?? 2. Unataka kunishawish kwamba yanayosemwa jf ama mitandao mingne yote yanamadhara hasi ktk mahusiano? 3. Unataka kuniaminisha kwamba hawa ke walioko kwenye hii mitandao akili zao hazina akili hadi washndwe kuchuja wayapatayo? 4. Unataka kuniaminisha kwamba kama wao mitandao itadhuru mtizamo wao kwenye mahusiano me watakuwa salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…