Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Vielezee vyote ili tukueleze tunachochangia,usije ukafikiri kumnunulia dem wako mahitaji yote,ndio kumfikisha kileleni?
Pengine haujaelewa nilikuwa na maana gani, na hili ni moja ya matatizo yanayotuangusha wengi wetu. Mimi mwenyewe sikujua kwamba wanawake wana aina nyingi za kufika kileleni. Maana yangu hapa ni kwamba maji ya Dawasco yanatoka kwenye bomba la jikoni, bomba la nje, na pia kwenye koki iliyopo kwenye simtank. Mwenzangu maji ya dawasco yanatiririka kutoka jikoni tu?
 
Kawaida mwanaume aliye na upendo na mke wake akikutana kimwili na mkewe lazima afike kilele kwa kutoa mbegu na hapo moyo wake na roho yake hufikishwa raha anayoitaka.

Una maana kama amekutana na mwanamke mwingine nje ya mke wake suala la kileleni linaweza kuwa na mushkeli?
 
hivi hatuwezi kodi magreda ya kuja kusambaza milima yote tubaki na nchi tambarare tu?

Haya mambo ya vilele, vijilele, mizizi ya vilele imekuwa tatizo.
Bora kutokuwa na milima kabisa tuone mashindano yatakuwaje bila vilele.

hahahah umeniacha hoi,inaelekea dar malalamishi kidogo kwa sababu milima ni michache.wale wa morogoro watakuwa na malalamishi mengi....lol
 
cha msingi inabidi umuelewe mwezi wako kwani hii hali ya kufikishana kileleni hutofautiana kutoka mtummoja kewanda mwingine.
 
maji ya Dawasco yanatoka kwenye bomba la jikoni, bomba la nje, na pia kwenye koki iliyopo kwenye simtank. Mwenzangu maji ya dawasco yanatiririka kutoka jikoni tu?

kwenye nyumba nyingine hata bomba la chooni yanatoka pia teh teh teh...
 
Aina zote mbili kawaida kwa wanaopendana zinatakiwa kufika wakati mmoja.

Nasikia wengine wa aina hadi tatu, kama gea ya cruiser iliyomuua shupavu wetu Sokoine. Na gea ya tatu ya dude lile sio mchezo, linatikisika na kunguruma kweli kweli, kama haujawahi kulipanda utaomba ushuke.
 
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.
 
hatupumui kisa vilele
moro watakuwa wanapigana vikumbo

huko kwenye kilimanjaro na meru nao sijui wakoje

hahahah umeniacha hoi,inaelekea dar malalamishi kidogo kwa sababu milima ni michache.wale wa morogoro watakuwa na malalamishi mengi....lol
 
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.

dah, hii ni kali... so, kama hafiki kwa kwenda mbele anaweza kufika kwa kurudi kinyume nyume siyo?
 
Kama hafiki kileleni mgeuze na mle kama samaki manake mademu wengi wa kibongo wanapenda issue hizo kwa sasa.

Huko nako kuna kilele chake, kwani hata mlima kilimanjaro ukiwa na ujasiri uliopitiliza, unaweza kuupanda na kufika kileleni kutokea upande wa kenya.
 
Mnahangaika bure ,Katerero ndo mwisho wa yote lazime afike kileleni tena fasta
 
Back
Top Bottom