Yaani 70%? Siamini, anyway ndio maisha , kwangu mi sijawahi kusikia wala kuhisi kuna mtu kapunjika kwenye ...Mi nadhani 70% ya wanawake huwa hatufiki kileleni as men do! Personally, sometimes nafika sometimes i dont! And when that happens i take it easy... Najua inatokea tu, smtyms uchovu na mood vinachangia!
vp!! wewe jana hujafikishwa nini!!?????
very bad, you should have to satisfy other ways you will never enjoy life. But if necessary you can tell your love the really that he has left you with unsatisfactory condition, therefore he really loves you he can make some simple creation on how to make feel nice.Otherwise you will spoil your realiotion ship regarding to your quiteness.Mi nadhani 70% ya wanawake huwa hatufiki kileleni as men do! Personally, sometimes nafika sometimes i dont! And when that happens i take it easy... Najua inatokea tu, smtyms uchovu na mood vinachangia!
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....
Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!
Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
Hapo penye blue mmh...nimeipenda coz inamfanya m.ume asijisikie vibaya. Naelewa ni kazi kwa mwanamke kufika kileleni sio rahisi sana kivile and not necessary kwa kila tendo as inategemea na mambo mengi. Natamani kujua kwa wale ambao inakuwa ni mara kwa mara yaaani... hata kwa miezi kadha wa kadha hajafikishwa...m.ume anakuwa ktk fikra gani dhidi ya mwenzi wake
but why most of women are liars? Why are they pretending to satisfy while they are not? Why cant she tell the reality that she is not satisfied so that a man can just make other techniqies. Mh jamani let us be free to express our feelings to our lovers. Itatusaidia.Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume niile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kwelianafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwefor factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasaukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika, it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
wapo na sababu kubwa ni wao wenyewe kutokuwa wawazi.Yaani 70%? Siamini, anyway ndio maisha , kwangu mi sijawahi kusikia wala kuhisi kuna mtu kapunjika kwenye ...
but why most of women are liars? Why are they pretending to satisfy while they are not? Why cant she tell the reality that she is not satisfied so that a man can just make other techniqies. Mh jamani let us be free to express our feelings to our lovers. Itatusaidia.
but why most of women are liars? Why are they pretending to satisfy while they are not? Why cant she tell the reality that she is not satisfied so that a man can just make other techniqies. Mh jamani let us be free to express our feelings to our lovers. Itatusaidia.
Napita tu wakuu natamani niwasikie zaidi kina Afrodenzi MJ1 Rose, Lily,lizy Dena MH! (just to mention few) watupe experience zao.
Ni wanawake wachache saaana wana guts za kuongea kwa uhuru kwa wenza wao
kua wapi yupo sensitive, wapi anaona raha... namna gani awe handled, na ni mda gani
inamchukua kusikia ashiki ya kutaka kufanya hilo tendo lenyewe....
Ni wanaume wachache hupenda kusikia madhaifu toka kwa wanawake wao, au kutaka
kujua kua kweli hamfikishi... aweza hisi kua hukufikishi but ile ukitamka ndio umemmaliza kabisa
basi kuepusha hii anaziba kabisa ubongo wake kutaka jiuliza kweli kama anatenda haki...
Na hilo tatizo likiendelea miezi kadhaa ni hatari kwa afya ya wapenzi hasa kama ni ndoa...
Thanks love for sharing your experience, of course our experience.....
Dada ukileta mambo ya mfumo dume hadi 6x6 unatuonea bureee..sasa mambo yamekuwa bayana mno,wanaume tu wasikivu kuliko enzi hizoo...,shida iko kwenye kuandaana na wewe ukiwa mhusika...kumbuka mwanaume husisimka kwa kuona..vilevile huwa na nguvu zaidi kadiri unavyojitoa kwake...Nanyi husisimka kwa hisia...na mambo huwa mazuri mkiandaliwa mapema..Mfumo dume upo hadi kwenye ngono.... Kama kuna alie wahi mfikisha bila kuelekezwa
anaona wewe umeshindwa... na kama umeshindwa why bring it up? ambayo sio kweli
maana siku za mwanzo za mahusiano mnakua hamjazoeana hivyo lazima kwanza mjuane
jinsi ya kuridhishana.... However kama mmefanya mara tatu na zooote ni failures, Then their
is no Compactibility hapo...
Na pia we love saaaana - hivo it is in our nature kua kama wewe umeridhika na roho yangu imeridhika...
na wanawake weeengi huwachukua mda mrefu mno kufika kileleni, ivo unakuta anakutana na kaka
zetu wasasa ambao majority ni wavivu mno, akishamaliza yeye hana kabisa nguvu ya kwenda mbele..
Hapo penye blue mmh...nimeipenda coz inamfanya m.ume asijisikie vibaya. Naelewa ni kazi kwa mwanamke kufika kileleni sio rahisi sana kivile and not necessary kwa kila tendo as inategemea na mambo mengi. Natamani kujua kwa wale ambao inakuwa ni mara kwa mara yaaani... hata kwa miezi kadha wa kadha hajafikishwa...m.ume anakuwa ktk fikra gani dhidi ya mwenzi wake
mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume....na si mwanaume kwa ajili ya mwanamke