Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,639
- 19,999
Sio Kweli, hio haiwezi tokea kwa wanawake wanaojitambua
Wanaume wenzako watakusaidia kulea usijaliNani kakudanganya nilifanya uoujinga nikamzalisha wakishua kilichotokea nimekosa kilakitu kwanzia mtoto mbaka mwanamke mwenyewe baada yakuchunguza ndo nakuja kugundua hawapo Tz walishapelekwa Nje ya nchi na communication ikakatwa na walimuondosha kabla hata hajajifungua hata mtoto wangu sijawa kumuona ,niliishia tu kupata taarifa tu kuwa amenizalia a BigBoy toto jeupee unaambiwa nimefanana nalo balaa like faza like son yaan copy en pest hicho tu ndo kilinipa furaha nakunifanya niishi kwa amani ila nilitamani sana hata tu wangenipaga mtoto nimlee mwenyew lakin haiwezekani ila niliskia mtoto alishaanza na shule huko Nje, kuna ndugu wa hiyo familia huwa nikikutana nae ananipa vitaarifa kidogo bas
Loh🤣🤣🤣🤣Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
Amekuwa ng'ombe mpaka umzalishe????Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
mzalize na kuhutaji ni vitu gani?Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
Tafuta akili kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
Suruba za kuishi na mtoto wa mtu ambaye wazazi wake hawakukubali unalijua kweli. Aisee, kila siku vimbwanga vinaongezeka. Unaforce mahusiano, hujui kuwa utakuja kuyachoka tu at one point or the other.Yani namaanisha, ikitokea mwanamke nampenda lakini wazazi wake wanaleta changamoto mimi kumuoa binti yao , Njia nzuri ya kumpata kirahisi ili ummiliki awe mke wako na wazazi wake watoe baraka ni kumzalisha kwanza ingali akiwa bado anaishi kwa wazazi wake.