Mwanamke mzalishe kwanza utakua umewin mechi

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
452
Reaction score
1,133
Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
 
Kwa hiyo tunafundishana uhuni?
 
Nani kakudanganya nilifanya uoujinga nikamzalisha wakishua kilichotokea nimekosa kilakitu kwanzia mtoto mbaka mwanamke mwenyewe baada yakuchunguza ndo nakuja kugundua hawapo Tz walishapelekwa Nje ya nchi na communication ikakatwa na walimuondosha kabla hata hajajifungua hata mtoto wangu sijawa kumuona ,niliishia tu kupata taarifa tu kuwa amenizalia a BigBoy toto jeupee unaambiwa nimefanana nalo balaa like faza like son yaan copy en pest hicho tu ndo kilinipa furaha nakunifanya niishi kwa amani ila nilitamani sana hata tu wangenipaga mtoto nimlee mwenyew lakin haiwezekani ila niliskia mtoto alishaanza na shule huko Nje, kuna ndugu wa hiyo familia huwa nikikutana nae ananipa vitaarifa kidogo bas
 
tatizo huna hela huna umaarufu ungekuwa navyo wasingemkimbiza broo tafuta pesa atakuja mwenyewe.
 
Kuna mengi zaidi ya hela mkuu familia za kitajiri huzijui vizur maybe kama maisha mbona mungu amenipa na now naishi vizur
Umaarufu siuitaji kwani sio priority kabsa in my life
Mtu akiamua jambo lake hata uweje atalifanya tu haijalishi wewe unaefanyiwa unanini sababu kwenye maisha siokila mtu atakupenda elewa hilo kiongoz
 
Ukitokea kumpenda mwanamke yeyote ambae unaona ni v.i.p sana unahisi ukitaka kumuoa wazazi wake au yeye mwenyewe hawezi kukukubalia kirahisi bas mzalize kwanza ili ukija kuhutaj kumchukua ile simple kabisa, hautakutana na changamoto zozote kutoka kwake ama kwa wazazi wake, na watakukabizi mke kwa furaha na Amani yote.
Nadhani bado kuna mengi huyajui kwenye dhana nzima ya mahusiano, mapenzi ndoa na hata uzazi
Kwa wazazi wenye misimamo na wanaojitambua mimba sio tiketi ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi zaidi ya hela mkuu familia za kitajiri huzijui vizur maybe kama maisha mbona mungu amenipa na now naishi vizur
Umaarufu siuitaji kwani sio priority kabsa in my life
Mtu akiamua jambo lake hata uweje atalifanya tu haijalishi wewe unaefanyiwa unanini sababu kwenye maisha siokila mtu atakupenda elewa hilo kiongoz

Kipindi unampata huyo mwanamke ulkua hauna kitu na familia yake walikua wanaleta changamoto..?
Na ulitumia njia gan ili kumteka huyo mwanamke ukammiliki na wazazi wake wakabariki.?
 
Bado hujasema... Ukikua Utasema

Yani uzalishe bila malengo baadae uje ulaumu watu

Yani namaanisha, ikitokea mwanamke nampenda lakini wazazi wake wanaleta changamoto mimi kumuoa binti yao , Njia nzuri ya kumpata kirahisi ili ummiliki awe mke wako na wazazi wake watoe baraka ni kumzalisha kwanza ingali akiwa bado anaishi kwa wazazi wake.
 
Nani kakudanganya nilifanya uoujinga nikamzalisha wakishua kilichotokea nimekosa kilakitu kwanzia mtoto mbaka mwanamke mwenyewe baada yakuchunguza ndo nakuja kugundua hawapo Tz walishapelekwa Nje ya nchi na communication ikakatwa na walimuondosha kabla hata hajajifungua hata mtoto wangu sijawa kumuona ,niliishia tu kupata taarifa tu kuwa amenizalia a BigBoy toto jeupee unaambiwa nimefanana nalo balaa like faza like son yaan copy en pest hicho tu ndo kilinipa furaha nakunifanya niishi kwa amani ila nilitamani sana hata tu wangenipaga mtoto nimlee mwenyew lakin haiwezekani ila niliskia mtoto alishaanza na shule huko Nje, kuna ndugu wa hiyo familia huwa nikikutana nae ananipa vitaarifa kidogo bas

Huyo wazazi wake walikua wanakuchukia sana na walikua wanauwezo mkubwa, kama waliweza hama nchi wakaenda ughaibuni , hiyo familia sio mchezo pesa wanazo.
 
Kuna mengi zaidi ya hela mkuu familia za kitajiri huzijui vizur maybe kama maisha mbona mungu amenipa na now naishi vizur
Umaarufu siuitaji kwani sio priority kabsa in my life
Mtu akiamua jambo lake hata uweje atalifanya tu haijalishi wewe unaefanyiwa unanini sababu kwenye maisha siokila mtu atakupenda elewa hilo kiongoz
sasa ngoja nikupe mbinu mujalabu kabla sijakupa vp mwanao unampenda na unapenda umuone?
 
Back
Top Bottom