Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Yalikuwa na chuchu?
Unamaanisha nipples ?
Kama ni hizo si hata wewe na mimi tunazo [emoji28][emoji28][emoji28]
Alikua na vititi vidogo size ya mtoto wa darasa la sita au tano

By the way mimi sijui tunazo chuchu za kazi gani ? Do you happen to know the purposes of nipples to us ?
 
Navyofahamu chuchu zipo tu in our genetic make up! Sasa isipokuwa huwa zinasubiri ujumbe kutoka kwenye hormone kwamba zikue( kwa jinsia ke pale anapopevuka) lkn kwa sisi me tunakuwa carrier tu maana zile hormones za kuzishitua ya kuwa zikuwe hazipo coz tunakuwa na utofauti wa system..

Hii inamaanisha kuwa system za jinsia zetu huwa zinaamrisha vitu fulani katika miili yetu vikuwe ktk muktadha wake! Binadamu sote ni sawa isipokuwa jinsia zetu tu ndo zinakuja kuleta utofauti ktk miili yetu so hormones za jinsia husika zitaamua mwili uweje Kama ni ke atakuwa na soft muscles,sauti nyororo,nyonyo zitakuwa n.k vivyohivyo kwa me tunakuwa na base,strong muscles,ujasili n.k
 
Jaribu tatusome... Wakati mmoja kakamatia maiki anaimbia dushelele ya alikiba, mwingine unakula mate ama analamba hizo chuchu, utajua kazi yake..
 
Ahaaa sawa sawa. Nimekufahamu kumbe hio ndio asili ya nipples kwenye miili yetu. Sasa kazi zake kwetu ni zipi ? Ama yaweza kuwa hazina kazi tena baada ya kuwa wanaume

Siwezi kujaribu. Hata hio mbilisome imekua ni mtihani
 
Hazina kazi kwetu we are just a carrier! Ni Kama mtu awe na sifa ya albinism lkn yeye ukimuangalia anangozi ya kawaida tu ila mtoto mmoja wapo atakaekuja kumzaa hiyo sifa ya albinism inaweza kuonekana kabisa I mean mtoto akawa albino!. Hii ni kwa utafakari wangu na uelewa wangu si kwamba ninautaalum ktk nyanja hiyo!.
Ni sawa na wavuvi Kuna upepo wakihisi unatokea upande fulani wanajua leo hakuna kitu! Au leo tutapata samaki n.k
 
Mkuu hiyo mbilisome nini shida..?
 
Kuna Binti mmoja jirani yangu ni mzuri sana, hajaolewa, ila uwezi amini moja ya sababu yangu kuu iliyofanya nisimkubali wala kumshobokea ni baada ya kuona ana midevu na anapenda kuichia bila kuinyoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hazina kazi kwetu we are just a carrier! Ni Kama mtu awe na sifa ya albinism lkn yeye ukimuangalia anangozi ya kawaida tu ila mtoto mmoja wapo atakaekuja kumzaa hiyo sifa ya albinism inaweza kuonekana kabisa I mean mtoto akawa albino!. Hii ni kwa utafakari wangu na uelewa wangu si kwamba ninautaalum ktk nyanja hiyo!.
Ni sawa na wavuvi Kuna upepo wakihisi unatokea upande fulani wanajua leo hakuna kitu! Au leo tutapata samaki n.k
Welldone nimeelewa. Mimi nadhani tunaweza sema kuwa nipples zina arouse someone sexual desire in regarding to what makaveli10 says hapo juu
Mkuu hiyo mbilisome nini shida..?
Actually isn't a big issue
Ni Maambo ya kishirikina mkuu but it doesn't give me a fully obstriction from having it, just a bit.
 
Bring her geto but I need fbi security when things change I don't want to hear this slogan "mwana kulitafuta mwana kulipata" 🤣🤣
Si unajua dunia tambala bovu Sasa usiombe likuchanikie!.
Unaogopa kufungiwa ndani na mwanaume aliyevaa sketi sio...
 
Welldone nimeelewa. Mimi nadhani tunaweza sema kuwa nipples zina arouse someone sexual desire in regarding to what makaveli10 says hapo juu Actually isn't a big issue
Ni Maambo ya kishirikina mkuu but it doesn't give me a fully obstriction from having it, just a bit.
Ha ha okay
 
Back
Top Bottom