Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,426
Reaction score
7,942
pichani ni Harnaam kauri mwanamke anae shikilia record ya kua na ndevu nyingi duniani.
Na june 20 anatarajiwa kuingia katika mashindano ya kuwania TAJI LA MISS UARABUNI

NINI MAONI YAKO???!
FB_IMG_1623992325732.jpg
 
Kuna Binti mmoja jirani yangu ni mzuri sana, hajaolewa, ila uwezi amini moja ya sababu yangu kuu iliyofanya nisimkubali wala kumshobokea ni baada ya kuona ana midevu na anapenda kuichia bila kuinyoa.
Nasikia wana bahati hao yaani Kama unaye, wewe mambo yako yanakunyookea tuu na yeye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nasikia wana bahati hao yaani Kama unaye, wewe mambo yako yanakunyookea tuu na yeye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni imani yako tu wala hakuna ukweli.

Hii midevu inasababishwa na kuwa na Hormone nyingi za Kiume.
 
Bring her geto but I need fbi security when things change I don't want to hear this slogan "mwana kulitafuta mwana kulipata" [emoji1787][emoji1787]
Si unajua dunia tambala bovu Sasa usiombe likuchanikie!.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unadhani anazo mbili?
 
Back
Top Bottom