Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Mwanamke mwenye ndevu nyingi Duniani

Kuna Binti mmoja jirani yangu ni mzuri sana, hajaolewa, ila uwezi amini moja ya sababu yangu kuu iliyofanya nisimkubali wala kumshobokea ni baada ya kuona ana midevu na anapenda kuichia bila kuinyoa.
Mpe mashariti mwambie unataka kumuoa ila awe ana shave hayo mazaga
 
Mpe mashariti mwambie unataka kumuoa ila awe ana shave hayo mazaga
Ni kweli hiyo anaweza nielewa ila tatizo amenizidi kiwango cha ndevu, mimi nina ndevu chache kama mtoto wa Kambale yeye ana ndevu nyingi kama za Marehemu Osama.

Nimemuogopa kwakweli kuna wakati utafika yeye ndie ataeokuja kuonekana ni Dume.
 
Unamaanisha nipples ?
Kama ni hizo si hata wewe na mimi tunazo [emoji28][emoji28][emoji28]
Alikua na vititi vidogo size ya mtoto wa darasa la sita au tano


By the way mimi sijui tunazo chuchu za kazi gani ? Do you happen to know the purposes of nipples to us ?
Sisi ndo tunajua kazi zake, zisiwaumize vichwa.
 
Back
Top Bottom