mwanamke mwenye ndevu anatafutwa.

Me ninazo chini ya kiuno katikati ya mapaja nifikirie pls
 
Hahahahha duh jamani nimecheka sana leo na Uzii huu...
Haya mleta uzii huu chagua umepata kila aina yani kama JF kawaida yake unapata unachokita na ziada...........
 
Nenda makao makuu ya jeshi la polisi, muulize msemaji mkuu wa polisi atakuelekeza
 
Ha ha ha. ..

Usije ukang'oa kidevu maana siku hizi masharti yanatolewa magumu sana.....
 
Siku hizi hawatafutwi wamejaa, wote wanaojibadilisha rangi za asili za miili yao side effect ni kuota ndevu. Wengine unaowaona nazo wazi wazi ni wavivu tu kunyoa. Kila punguani aliyejikoroga ana ndevu. Chunguza.
 
Jamaa kwakuwa ulisikia mademu wenye ndevu watamu bac ndo unataka uwaonje,,haha! Mi mwenyew nasaka mmoja
 
Siku hizi hawatafutwi wamejaa, wote wanaojibadilisha rangi za asili za miili yao side effect ni kuota ndevu. Wengine unaowaona nazo wazi wazi ni wavivu tu kunyoa. Kila punguani aliyejikoroga ana ndevu. Chunguza.

Ni swaga tu
 
Hee bahati nzuri mimi imeota wakati nimeshaolewa. Lakini moja tu
 
Mtafute yule msemaji wa geshi lya polish pale poshta mpya, mi nimimsahau jina lake. Nenda umejiandaa kabisa afu ukitoka uje hapa utusimulie yatakayokukuta.
 

Mkuu jitahmini sawasawa huenda una vinasaba vya ushoga!
 
Mtafute yule msemaji
wa geshi lya polish pale poshta mpya, mi nimimsahau jina lake. Nenda
umejiandaa kabisa afu ukitoka uje hapa utusimulie
yatakayokukuta.
Hata mie nlitaka kumwambia hivo hivoo yule mdada wa polisi tena ana kale ka-O kabisa yani ni full mzuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…