Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.
Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?
Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.
Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.
Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.
Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?
Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.
My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.
Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.
Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?
Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.