Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Masanilo nakuaminia, hebu lete basi ufundi maana naona belinda hasemi kitu yuko mguu pande mguu sawa, anasubiri amri tu...tiba gani unatumia kaka. Chonde chonde, tugawane ufundi jamani eeh?
Kaka mambo mengine ni siri ya mtungini kata tu ndo hujua Bellies can tell more. Kujituma, usikivu, kumpa Queens treatment, na kubwa kuliko lote unamfanya msichana wako awe your best friends, atakumiss every second...na kuwa funny ubunifu etc...mliisha wahi jichua (Kupiga mgalala) pamoja na demu wako mkiangaliana??....viutundu kama hivyo....na kubwa kujiexpress si unajua tena na ile line...