Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

hehehe na wewe unataka ufanye practical hapa hapa mayowe siku zote ni wizi mtupu anakuibia tu....
mi nilichukua kitu kilikuwa ( . ) mi naelea tu alafu kinapiga mayowe nikamwambia acha kuniibia bana.

Mayowe wizi mtupu! Halafu kwenye studio (Vyumba za kupanga room moja moja) utakuwa unawasumbua watu. Ukiingia na mamaaa tu watu wanasogea kupata mayowe. Ni bora anayenung'unika kuliko wa mayowe. Bibiye ananena kwa lugha hata huielewi! Sasa sikiliza speed ya jamaa utafikiri panga boy (Fan) mazee! We acha bana!
 
Masanilo, Ya kweli hayo???? Hiyo harusi itafanyikia nchi gani??????

This is for real, tumedate muda mrefu nadhani ni wakati kufunga pingu! Maana hii cohabitation imekuwa na muda sasa! Harusi itafanyika huku tulipo ughaibuni...Belinda cant wait kuwa kwenye mavazi meupe...na lile tabasamu lake mhhhhh!
 
Sawa kaka nimekupata, Muda ukifika mta tu-update ili tuhudhurie kwenye hilo bonge la harusi.
 
Sawa kaka nimekupata, Muda ukifika mta tu-update ili tuhudhurie kwenye hilo bonge la harusi.

Usikonde nadhani wanaJF wengi watakuja.....nawasiliana na invisible awe MC ! Tutaweka thread tarehe zikikaribia....
 
Kwani anapopiga mayowe huwa anaumia sana au huwa anafurahi sana?????

Mkuu kunatofauti hapo wapo wengine wanafrahia kituuu....na wengine ni maumizu kama ndo siku ya kwanza anatest kujiexpress lazima uchozi utoke....lakini ni tamu vileviel ila ndo hivyo inaumiza.
 
Hahah Balantanda tangu amehook up na Penny naona amepotea amekuwa sio regular tena...

...huenda 'keshalambishwa!' :)

usifanye mchezo mamie akikukalia kichwani, siku nzima wewe na hoover, dishwasher, school-runs, wikiendi kama hii unaishia u-grass cutter, ...almuradi muda wa kijiweni hakuna tena!
 
Unajua tuache masihara watoto wa kule bwana wacha waongoze kwa ukimwi dahh yaani wametimia jamani...nyie bezeni suala la Ukelele ila najua wapo wataofanya experiment hao ndo watatoa majibu. Afu ukitaka kuenjoy sio ufanyiwe kwenye zetu hizi za mbavu za mbwa. Hii kitu inapendeza kwenye ultimate private sio wapiga chabo kibao ndo ujitie mbwembwe shosti utauza magazeti kesho yake.

mmmhhhh uwwiiiiiiiii yalaaaaahh....afu ana-fade out kimtindo. Mi nakwambia hapo lazima ushikwe na kifafa cha ghalfa. Take this from horse's mouth.;)
 
Ulikuwa unaibiwiwa tu kaka, Wewe utakuwa ulienda kununua wale wa 40Rands!!!
 
mmmhhhh uwwiiiiiiiii yalaaaaahh....afu ana-fade out kimtindo. Mi nakwambia hapo lazima ushikwe na kifafa cha ghalfa. Take this from horse's mouth.;)

Wee Mzee wa fiksi utakuwa mgeni wa haya mambo nahisi, haya mayowe yanaweza pia kuwa demu anaumia au anataka tu umuongezee rand! Afu mademu wa kisauzi si ki hivyooo kama unavyowafagilia hapa, wengi ni wabovu na karibu wote wanafanana. Mambo yote iko bongo, ukitaka fupifupi, ndefu, nene, vimodo - wewe tu na mapigo wanayajua kwa sana. Mademu wetu wanadeserve credits kuliko mademu wa nchi yoyote Africa. Na wala sitafuti ubishi hapa kaka!
 
Ni kweli wa2 hupiga mayowee! duh! kumbe kidude si mchezo mmh! kisa ni kilele tu, japo ni kazi rahisi kidogo kwani dawa yake ni kuwa na stimu za kutosha' je ingekuwa kilele cha kufikiwa ni kile cha kibo je walume tungefikaa! aah! kilelee! piga kelelee! washaa mwengee! utaliweza tu ligwaridee!
 
This is for real, tumedate muda mrefu nadhani ni wakati kufunga pingu! Maana hii cohabitation imekuwa na muda sasa! Harusi itafanyika huku tulipo ughaibuni...Belinda cant wait kuwa kwenye mavazi meupe...na lile tabasamu lake mhhhhh!

Yeah Honey, I guess its time we take further our relationship. My daily time with you is something I wouldn't trade for anything...xoxo
 
Last edited:
Sa hiyo dawa mbona sijaiona ,ya kukupa zoezi la saa moja mpaka matatu ? Lazima na hapa kuna elimu imejificha .
 
heh! Mayowe ya kishindo au? Maana usikute hayo mayowe ni ya kuzulu zaidi ndo maana wanazijulia wenyewe na wanaume wao wamezoea.Yaani ni kati ya kichocheo kwenye mapenzi yao.
Watu hawakuwasikia nje kwa hayo mayowe?

Kwangu mimi kama hamalizi haraka,tunaahirisha. Masaa 2 hajaitika kweli ni shughuli ila mwisho wa siku kila mtu na taste zake mkuu. Wengine wanapenda masaa mengi.
Avatar yako inanichanganya??????
 
...ndivyo ilivyo!

'Gari bovu' siku zote ndilo lisilokwisha kelele,...! kelele miiiingi ukimpa kisogo anakung'ong'a!

'Gari' kama hiyo ikianza kelele tu, ...unazima,...unashuka, huyooo unaishia!

ukisikia wale wanao ziba pua anakuwa kama anamafua hivi akianza kulia ebwaneeee we acha tu .... wanajua sana kujifanya wanaumia eti inauma hehehe
 
Yowe !!!!hiyo kali mi niliwahi kusikia dawa ya kumfikisha haraka mwanaume ni kulalamika kimahaba wakati wa majambozi uku ukienda mwendo wa taratibu
 
Back
Top Bottom