Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

ukisikia wale wanao ziba pua anakuwa kama anamafua hivi akianza kulia ebwaneeee we acha tu .... wanajua sana kujifanya wanaumia eti inauma hehehe

Mafua ya nguruwe (H1N1) umepona? Mimi napiga jalamba hapa kuwahi urithi wetu uleeeeeeee
 
LOL!..Your wish is my command and you know that! If you allow me to put your snap as my avatar,I'll remove Messi..Any idea? Au nimuache?

Hahahahah no my picture cherries! naogopa haters ....muache muache Lionel kwanza tukiwafunga J5 ondolea mbali mweke Essien!
 
Hivi nyie niwaulize kitu kimoja, kama mtu anakudanganya ili usikie raha shida iko wapi? Mi naona ni poa tu as long as am getting what I want or pay for. Nimewaambia Yowe limenifikisha kunakohusika sasa vijembe vya nini. Kama wewe unanjia nyingine unayoitumia basi tuambiane maana hapa tunashare experience wazee.

Watoto wa Bongo tatizo lao hawatoi ushirikiano wakutosha...unaweza kujikuta mechi nzima unacheza wewe tu, labda baadhi ya maeneo kama Tanga na watoto wa kizaramo, hao wengine hovyo tu, mi nshawala wengi najua ninachozungumzia, HUTAKI NENDA KAANZISHE THREAD YAKO. :)
 
Bonnie!..Mimi ni mshabiki mkubwa wa Messi huyo ndo maana umeona nimemweka kwenye avatar nimuone kila mara nikiwa JF...

hehehe inaonyesha upo radhi hata kujiexpress nae kwi kwi kwi kwi!{joke} ummpenda kuliko shemeji lol...
 
hehehe inaonyesha upo radhi hata kujiexpress nae kwi kwi kwi kwi!{joke} ummpenda kuliko shemeji lol...

He he shem..Masa atanimaliza kwanza nimezuiwa safari zozote za Barcelona,kazi kweli!.. Messi nampenda kisoka TU ila Massa ndo mwenyewe kila kitu hadi mayowe kule faragha...
 
Watoto wa Bongo tatizo lao hawatoi ushirikiano wakutosha...unaweza kujikuta mechi nzima unacheza wewe tu, labda baadhi ya maeneo

Hahahah thats very general FIXMAN....kuna wadada mzee ligwaride lao lazima uombe maji katikati...ila wachagga duuu hovyo hovyo!
 
My Bellies si mchagga aisee kabila lake hapa haliwezi kuwa disclosed, utakuja kwenye harusi yetu?

Kuna mambo mengine nikifanya mimi naambiwa ooh fixman kaanza. Sasa hao akina belinda na masanilo mbona siwaelewi....mmekuja kusifiana sio au tuanze kuwapa kitchen party yenu sasa ivi??? Msijifanye mmeshibana bwana tupeni utaalam sio maneno mengiiiiiii.
 
Kuna mambo mengine nikifanya mimi naambiwa ooh fixman kaanza. Sasa hao akina belinda na masanilo mbona siwaelewi....mmekuja kusifiana sio au tuanze kuwapa kitchen party yenu sasa ivi??? Msijifanye mmeshibana bwana tupeni utaalam sio maneno mengiiiiiii.


Ufitini,nuksi na wivu usianze fixman, tuandalie hivyo kitchen party!!!!!
 
Ufitini,nuksi na wivu usianze fixman, tuandalie hivyo kitchen party!!!!!

Lete vitu vilivyowafanya mshibane sio kutangaza ndoa tu....maana hamjasema kama yowe limewafikisha hapo au nini. Mi siwezi kushabikia ndoa bila kujua kuna nini maana mwisho wa siku utapewa ushahidi bure..ooh eti shemeji mwambieni mwenzenu ajirekebishe kila saa hvi mara vile ooh kazini siku hizi imekuwa shida. Hataki hata nifanye....acheni hizoooo.

Masanilo nakuaminia, hebu lete basi ufundi maana naona belinda hasemi kitu yuko mguu pande mguu sawa, anasubiri amri tu...tiba gani unatumia kaka. Chonde chonde, tugawane ufundi jamani eeh?
 
Back
Top Bottom