Nina tatizo la kutofika kileleni

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,400
5,256
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno
 
Endelea na hio punyeto, tu,we kileleni unataka ufike kufanyaje na huna mbegu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ni miezi takribani mitatu sifiki kileleni
Nimekutana na baadhi ya wanawake kwa kipindi hiki chote lakini bado
Ni hali ambayo inanisumbua ni heri uwahi kufika kileleni kuliko hili linalonipata
Mwenye msaada au tiba nitagharimia kwa atakayeweza nasumbuka mno

"Baadhi" - wangapi Kaka?
 
Back
Top Bottom