Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

M
Ushauri tu kwa dada zangu, sasa ndo nimeelewa kwanini wazungu wana criteria za mwanamke mzuri aweje.

Mwanamke mwembamba kama mamiss wale akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisa.

Mwanamke ukiwa mnene unakata stimu, ushauri huu uzingatiwe na dada zetu. Yaani stimu znakwisha kabisa hata ujirembe vipi, hata ujisexishe vipi, mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wiki tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawake wao sasa ni vibonge wanaishije, mimi sidechick tu ananipa kero.
Mnakremu nyiny wapuuzi kabisa kuna wanawake aina sita
1.very thin
2.thin
3.normal
4.busty
5.fat
6.very fat

RESULTS
1 and 6 = very UGLY
2 and 5 =NORMAL
3 = BEAUTIFUL
4 = Very BEAUTIFUL

BUSTY ndio mwanamke mwenye hisia zaid kimapenzi hakuna mwanaume hapendi kuwa naye na wanawake wanalijua hilo ndio weng wanajisumbua kula mayai cjui soseji yote tu wawe BUSTY
 
M
Mnakremu nyiny wapuuzi kabisa kuna wanawake aina sita
1.very thin
2.thin
3.normal
4.busty
5.fat
6.very fat

RESULTS
1 and 6 = very UGLY
2 and 5 =NORMAL
3 = BEAUTIFUL
4 = Very BEAUTIFUL

BUSTY ndio mwanamke mwenye hisia zaid kimapenzi hakuna mwanaume hapendi kuwa naye na wanawake wanalijua hilo ndio weng wanajisumbua kula mayai cjui soseji yote tu wawe BUSTY
Tupichamo mkuu, hata tuwaone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Psychologically mwanzo kbs nilikuwa napenda Wanawake wenye MAKALIO makubwa..

Till nilivyokuja kugundua MAKALIO ni mapambo tu.. na ni USELESS ktk 6x6

Makalio hayana Faida yoyote.. na kibaya zaidi Yana LIMIT styles mbali mbali..

Mwanamke awe Moderate tu ROUND ASS ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakulaje mifupa wakati minofu ipo.Hiyo sera unaitoa wapi.Mwanamke mnene ndiyo kila kitu unadate na kimtu chembamba tena kifupi hadi kinapotea kwenye mablanketi unaanza kukutafuta au unakikalia kitandani unadhani ni blanketi kumbe mtu kalala.
Wanene woyeeeeee nyie ndo kila kitu pambo la Mungu duniani. Si kwamba wembamba hamfai hapana nanyi mna kazi yenu maalumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu mmoja kasema mie niwe mwembamba na mke wangu mwembamba sitaki tukiwa tumelala tunakuwa kama wamelaza mikeka tu hajulikani mwanaume nani wala mwanamke ni yupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom