Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 157
M
1.very thin
2.thin
3.normal
4.busty
5.fat
6.very fat
RESULTS
1 and 6 = very UGLY
2 and 5 =NORMAL
3 = BEAUTIFUL
4 = Very BEAUTIFUL
BUSTY ndio mwanamke mwenye hisia zaid kimapenzi hakuna mwanaume hapendi kuwa naye na wanawake wanalijua hilo ndio weng wanajisumbua kula mayai cjui soseji yote tu wawe BUSTY
Mnakremu nyiny wapuuzi kabisa kuna wanawake aina sitaUshauri tu kwa dada zangu, sasa ndo nimeelewa kwanini wazungu wana criteria za mwanamke mzuri aweje.
Mwanamke mwembamba kama mamiss wale akiongezeka kdogo si mbaya ila asiwe mnene kabisa.
Mwanamke ukiwa mnene unakata stimu, ushauri huu uzingatiwe na dada zetu. Yaani stimu znakwisha kabisa hata ujirembe vipi, hata ujisexishe vipi, mwanamke mnene ukishalala nae ukakaa nae wiki tuu ushamchoka sasa sjui waliooa na wanawake wao sasa ni vibonge wanaishije, mimi sidechick tu ananipa kero.
1.very thin
2.thin
3.normal
4.busty
5.fat
6.very fat
RESULTS
1 and 6 = very UGLY
2 and 5 =NORMAL
3 = BEAUTIFUL
4 = Very BEAUTIFUL
BUSTY ndio mwanamke mwenye hisia zaid kimapenzi hakuna mwanaume hapendi kuwa naye na wanawake wanalijua hilo ndio weng wanajisumbua kula mayai cjui soseji yote tu wawe BUSTY