Mwanamke mlevi kupindukia.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?
 
Wanasaikolojia wanaweza kumsaidia ksb hao watajua,chanzo,sababu na suluhisho.
Maombi pia ni muhimu kwan kwa mungu yote yanawezekana.
 
Mkuu kama ni mwanasheria basi kaa naye mbali, huenda anakutega ili umbake akiwa amelewa ili aku peleke kabla ya mahakama (Bring before the court)

Just kidin'
 
kuna molecules akichomwa mwenyewe hata harufu ya pombe ataikimbia, madaktari wanaifahamu sana ingawa inaleta ugumba so lazima awe amefunga kuzaa
 
huwa tuna tabia ya kuangalia mambo kwa nje lakini nafikiri ana tatizo lingine kubwa ndani yake lilopelekea kuwa ivo hilo ndilo linahitaji ufumbuzi kwanza .
 
Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?

Kikubwa inabidi atambue kua ana tatizo na tatizo lenyewe ni ulevi, kama yeye bado hajatambua hilo mtayofanya nyie ni kazi bure mana katika kila mtakalo amua kufanya inabidi nae akubaliane nayo. Alafu ni mtoto wa kike, pole zake.
 
Ni msomi mwenye shahada ya sheria. Anakunywa mpaka anapoteza ufahamu.
Anajikojolea popote na hachagui neno. Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.
Je tumsaidieje mtu huyu?
Yupo humu? we unajuana nae? au tutoe ushauri tu?
 
Mlete niishi nae maana bila pombe kwangu kazi hazifanyiki :smile-big::smile-big::smile-big:
 
yaani mpaka huzuni,dunia ina maswahibu hii lakini hivi kupiga ndio kufundisha au,unaweza kuta badala ya kumsaidia tatizo alilonalo wao ndio wanamzidishia maana familia zetu hizi tunazijua wenyewe!
 
1.wazazi wamejaribu kumrudi wameshindwa sisi tutaweza?
2.wewe mleta mada ndie unamjua vema,mpe msaada unaofaa.
3.pesa za kununulia pombe zikiisha au ofa zikikoma ataacha.
Hata hivyo inasikitisha,inanikumbusha trafiki mmoja wa kike aliyekuwa mlevi kupindukia......
 
Hivi mtu kwa nini akiona amelewa haachi anazidi kujikokomea mabia tu bila kujijali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana hata hiyo shule inakuwa haina maana sasa
 
Hivi mtu kwa nini akiona amelewa haachi anazidi kujikokomea mabia tu bila kujijali? Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana hata hiyo shule inakuwa haina maana sasa
<br />
<br />

Inaonyesha wewe hujui ladha ya pombe......
 
NI hivo tu wamesema. Rehab na sala. Akubali kwamba anatatizo na akubali hiyo program. Usimwachilie, wanawake wenye elimu yake ni wachache, hawatakiwi kupotea katika njia bovu kama ulevi!
 
Back
Top Bottom