Mwanamke mlevi kupindukia.

Vipi jumamosi ya leoumemuona? Kuna harusi ya shemeji yangu, pombe kibao mwambie aje Msasani Beach Club jioni aukizie Nas atanipata nimpigishe mpaka asubuhi

Vipi jumamosi ya leoumemuona? Kuna harusi ya shemeji yangu, pombe kibao mwambie aje Msasani Beach Club jioni aukizie Nas atanipata nimpigishe mpaka asubuhi

Mmmmhh za maharusini sio tamu bana...

mwe!!!usiombe yakakukutan! nina experience kubwa ya jambo hilo! acha tuuuu ulevi nomaaaa,ntakujumlisha kwenye sala zangu mwayego!upunguze alcohol usijali dada

pole sana mtu wa Mungu, kumbe shetani kisha wahi kukutumikisha kwenye shimo la ulevi?

dawa mlengeshe.. kwa mwanaume awe na mpenzi kama hajaolewa... atatulia...! mapenzi ndio dawa kwa mwanamke :plane:

Bujibuji said:
Ni mwanamke msomi mwenye shahada ya sheria.
Anakunywa pombe mpaka
1 anapoteza ufahamu.
2 Anajikojolea popote na
3 hachagui neno la kutamka yaani tusi si tusi twende kazi.

Wazazi wake wamechoka, wameongea sana na wamepiga sana.

Je tumsaidieje mtu huyu?

Mkuu bujibuji, wazazi wa huyo binti bado wanaendelea kumpiga ama sasa hivi wanatumia maongezi kumrejesha katika hali ya kawaida?

Mimi nashauri waachae kabisa kumpiga. Huyo ni mtu mzima. Kwa jinsi wanavyofanya wanamtengenezea kitu katika akili yake kuwa amekosa kuheshimiwa(anadharauliwa) na ndiyo ukweli wenyewe. Hivyo hawamsaidii bali wanamharibu.
Naomba mrejesho wa hali yake.

&l;br />

Yaani wewe hivi unakunywa kinywaji gani vile???? Nidai chupa kadhaaaa umenifurahisha sana kuzima kuna raha yake.......

Ulevi nomaaa hata ungeuteteaje lakini haufai hasa pale unapozimika na wakakuzimikia wenzio ukatoka hapo unadai sijawahifanya hivi au vile!

dawa mlengeshe.. kwa mwanaume awe na mpenzi kama hajaolewa... atatulia...! mapenzi ndio dawa kwa mwanamke :plane:
Duuh! hapa umechemsha boss! yaani kama alikuwa anakunywa akiolewa atakuwa anajimiminia sio kunywa!

Ulevi nomaaa hata ungeuteteaje lakini haufai hasa pale unapozimika na wakakuzimikia wenzio ukatoka hapo unadai sijawahifanya hivi au vile!

Ha ha ha wewe bana haya naunga mkono hoja yako...

Back
Top Bottom