Mwanamke Mchafu

Polisi ben

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
303
Reaction score
83
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.
 
mmmh! Wanaotembea na mikoba ndio wachafu na ndio maana wanakua ili kujihami ila wasafi huwezi wakuta na mamikoba kihasarahasara kama wa machinga. polis ben mbona wewe utembei na begi

Last edited by a moderator:

umekuja broo manoah,,sasa nibebe begi la nn?
 
Last edited by a moderator:
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.

Sasa leso ya mwanamke kama kaiweka mfukoni utaionaje?? Acha ujinga wewe.
 
Ukimwona mwanamke anazunguka town hana mkoba,pochi ndogo wala leso yuko tu na kimeo chake mm nadhani huyo ni mwanamke mchafu cjisikii hata kumsalimia.

wewe noma inamaana hata ukimuona ameenda sehemu mara moja tu ni mchafu..
 
sidhani kama
kuna mwanamke
atazunguka akose
kua na mkoba au hata wallet!
ni ngumu Polisi ben!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…