Mwanamke mcha mungu

Mwanamke mcha mungu

Joseph kaswahili

New Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Katika maisha yangu natengemea kuja kuoa mwanamke mcha mungu.nitampatanje sasa jamani hebu nisaindieni
 
me mwenyewe nilikua natafuta mme mcha mungu nashukuru nimekupata
 
if you mean it, anza kutembelea makanisani au misikitini, then tangaza NIA padre/shekhe akusaidie kuchagua, very simple yaan
 
Ulipoanzia hutapata unachokitaka,utaishia kupata waigizaji tu. Kupata mcha Mungu ni lazima uwe mcha Mungu kabla ya kutangaza nia....
 
Kuna mdau kauliza Je ww ni mcha Mungu? Kama ndivyo,Piga goti, sali na kufunga na peleka nia yako kwa Mungu hakika before kwaresma hii Mungu atakuonyesha!
 
Katika maisha yangu natengemea kuja kuoa mwanamke mcha mungu.nitampatanje sasa jamani hebu nisaindieni

Cha kushangaza unataka mwanamke mcha mungu wakati wewe mwenyewe si mcha mungu! Ungekuwa mcha mungu ungeshamuona huko huko kwenye uchaji mungu.
 
Inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye..
 
wacha mungu wapo..ila waumini ndo wa kumwaga..kaka inahitaji sana kuomba kufanya ibada usiku na hata utakayempata fanya sana maombj ili mungu akupe jibu kama la au sio basi moyo wako tu utakujuza kila kitu iwapo utamuamini muumba wa ulimwengu na vilivyomo.
 
if you mean it, anza kutembelea makanisani au misikitini, then tangaza NIA padre/shekhe akusaidie kuchagua, very simple yaan

Utapata wa kufanana nawe! Acha udhalimu Mungu hayuko hvyo kabisa kama ni muhuni utapata muhuni mwenzako!
 
Utapata wa kufanana nawe! Acha udhalimu Mungu hayuko hvyo kabisa kama ni muhuni utapata muhuni mwenzako!

Mi huwa naamini nia ya mtu ndo Mungu huwa anaiangalia, maybe kupata mke mchamungu ndo sababu ya yeye kubadilik, so Nia yake inamtuma vipi?
 
ni kweli kabisa maana wengi hawajui ukiandika mungu unakuwa humaanishi Mungu muumba mbingu na nchi,hata Biblia inatofautisha kati ya Mungu na mungu

na ndio maana mimi nimemuuliza hivyo
 
Mungu tu ndiye anaweza jibu swali lako kwa akili ya kibidamu ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom