Kuwa makini na wacha Mungu wengi wao ni wale ambao wamekwishapata matatizo makubwa katika maisha haya na wanaishi kwa matumaini ya mwenyezi Mungu.Katika maisha yangu natengemea kuja kuoa mwanamke mcha mungu.nitampatanje sasa jamani hebu nisaindieni
Cha kushangaza unataka mwanamke mcha mungu wakati wewe mwenyewe si mcha mungu! Ungekuwa mcha mungu ungeshamuona huko huko kwenye uchaji mungu.
Si anataka amcompliment aka kumuambukiza ucha Mungu.
Dogo hakuna short cut; sugua magoti yako sakafuni usali. Halafu usiangalie vigezo vya nje focus kwenye ucha Mungu maana unaweza kuwa blinded na vitu vya nje kiasi kwamba ucha Mungu ukauona au ukaamua kuutranslate ili ufit jinsi mrembo alivyo!