Sitawai kupenda mwanamke wala kuoa maisha yangu yote mpaka kifo.nimeapa na damu yangu sitawahi kuthubutu kupenda.
Dini zimewafanya muwe siriaz sana na mahusiano yaitwayo ndoa!!
Lakini mmesahau amri kuu ya uumbaji "zaeni mkaongezeke mkatawale Dunia na samaki wa baharini"
Nyie mkaingizwa kwenye mkenge wa "Hadi kifo kikuteenganishe"
Ndoa usiipe u siriaz usiostahili kwamba "watoto wangu wasome Hadi chuo kikuu nitasomesha na nitawatengenezea maisha wajivunie"
Kumbe kila kiumbe amekuja kupigania hatma yake na sio kupiganiwa hatma!!
Na wanawake wanatuingiza mkenge "kwa ajili ya watoto wetu,tufanye hivi au vile au vileee"
Mwishowe maumivu!
Usiape kuishi nae Hadi kifo au ukawekeza sana kwake,WEKA NDANI,TOMBA SANA,ZAA SANA AKIZINGUZ OA TENA,CHA MSINGI HAKIKISHA CHAKULA MAVAZI NA MALAZI KWA WATOTO HALAFU WAPATE BASIC EDUCATION TU SIO COMPLICATIONS KIBAO WAPE UHURU WA KUPIGANIA HATMA ZAO BAADA YA KITIMIZA UMRI WA KUJITEGEMEA KAMA WEWE ILIVYOKUA KWANI BABA YAKO ALIKUTENGENEZEA MAISHA AU NI WEWE UME FIGHT!!?
DHANA YA KUOA NI ILE YA SOGEA TUISHI ACHANA NA UFALA WA KAMATI KIBAO ZA HARUSI KUMBE UNAJICHIMBIA HASARA XISIZO NA MSINGI HAKUNA U SPECIAL WOWOTE ZAIDI YA LILE TUNDU!
UNAKUTA JITU DEMU LIMESHAMGONGA WEEE HALAFU LINAGHARAMIA HARUSI YA NINI SASA!!?TUACHE UJINGA MKUU!!
NIMEANDIKA KAMA FALA VILE ILI UJIFUNZE UFALA,MAISHA HAYAHITAJI HEKIMA NYINGI BALI UFALA UFALA FULANI HIVI!!
LABDA UTAAMBULIA KITU!!
kazi na utu,tunasonga mbele!!