Mwanamke mbaya kuliko wote baada ya eva,yezebeli, duniani ni spika wenu ""anna makinda""

Inuse kabisa kama mama yake angekuwa amelazwa muhimbili leo hii huyu mama asiingeongea alichoongea leo
nadhani ana matatzo makubwa tuu...nahisi amezoea hali ya misiba ndio maana haoni jipya mnapopiga kelele za watu wanakufa mahospitalini leo bugando wamefunga na kutoa tangazo kama sio ni nini
...Pdidy unachosema kinaukweli sana leo nimesikiliza clouds jinsi anavyowatoa show wabunge kuanzia yule magamba mwenzie wa mbozi hadi John mnyika kwa kweli nilipata hasira sana. Anadhani kwa kukaa kwenye kile kiti pale basi amemaliza kila kitu. Si ndio kuna wakati alifunga mtaa mmoja pale kijitonyama eti anataka kujenga ghorofa yake ya kuishi kwa hiyo anahofia hiyo bara bara itahatarisha usalama wake? Viongozi wa bongo bana!!
 
Pdidy use any words, Spika was right to say that!

kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

BTW uliposikia kinyaa ulitapika??

Tusubiri kamati huku watu wanakufa?? Wameingilia hadi maisha ya watanzania sasa, walianza fedha zetu sasa ni afya zetu. Watanzania tutakuwa wapole hivi hadi lini? Bi kiroboto alipaswa kusitisha mijadala yote na kujadili uhai wa watanzania, kwa kauli yake ya jana alistahili kujiuzulu uspika
 
nimewahi kusema kitambo kuwa ndani ya ccm hakuna mtu makini na anaefikri kwa kina ! wote ni mamluki wa damu ! watu wasiojali wala wasio na woga , ccm ina ombwe la uongozi thabitu
 
Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda
kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili kuhusu ma dk aliongea kana kwamba familia yake yote imeandikwa kupelekwa appolo wanapoumwa

mama huyu nilisikia kama kinyaa pale alipoanza kujibu kana kwamba anataka wote wagonjwa wamfwate mama yake alipo si uungwana kabisa we mama kama unajua hili njooo huku hospital muhimbili uone jinsi watu wanvyoteseka na kufaaaaa

samahani kukuita hivi naamini kama eva asingetangulia kumdanganya adamu basi wewew ungekuwa mwanamke mbaya kuliko wote duniani kabla ya eva
Ulitegemea ajibu vipi wakati yeye anatokana na uzao wa sakata la kumwengua samwel Sitta katika nafasi hiyo...na walioshinikiza na kuendesha harakati hizo si unawajua? nao baada ya kufuatwafuatwa kwa tuhuma za hapa na pale si walishatamba kuwa watahakikisha kuwa 'hapakaliki, wala hapatawaliki' km hawatasafishwa.
 
pdidy use any words, spika was right to say that!

Kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! Maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

Ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

Btw uliposikia kinyaa ulitapika??


watu wengine bwana!!! Basi na roho za watu aziundie kamati. Au aunde kamati ya kusimamisha vifo hadi kamati itakapojibu. Huyu demu siyo binadamu. Yawezekana ni mchawi, ndo maana anasheherekea vifo ili apate ndondocha wa kumfanyia kazi.

 
Wana JF hivi kuna anayefahamu hiyo kamati ni ya wabunge wangapi? Inakutana na nani? Kuna haja kubwa ya Bunge kulifuatilia kwa karibu suala hili la Roho za watanzania zinazoteketea kila kukicha.Hivi Wabunge wakienda kule Muhimbili hawatalipwa POSHO? Spika kama alighafilika aombe radhi watanzania kwa kauli za maudhi..........
 
Ndio shida ya kuchukua wajane wa roho na kuwapa madaraka. Yeye na Ndugai wanajiona kama miungu vile. Ila siku kikinuka ndio tutaheshimiana, kwani unadhani mwaka jana muda kama huu ungemwambia Gadaffi kwa anachofanya kinawaudhi watu angesikia la mtu? Lkn wakati wanamburuza kama mzoga wa mbwa alikuwa anawabembeleza wamuachie awape fedha na dhahabu lkn wapi

Acha uoga,hadafi hakubututwa alilawitiwa.sasa bi kiroboto sijui titamfanya nini sababu huko dar nasikia hiyo njiia ya haja kubwa inatumika kama kawaida
 
Itakua yuko period. .Ya mwez huu itakua inampanda kama kiungulia..Afu lile li naibu lake nalo ndo ngeSE LAKU2PA. .time limit atayotoa kwa magwanda kuongea haifui dafu ata mara 10 kwa magamba! Anaonesha upendeleo laIVU
 
Yule bibi mimi ndio namchukia kuliko mbongo mwingine yeyote.,hana mvuto hata kidogo nadhani hata kufuli huwa havai yule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom