Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!
figa la1=MUME
figa la2=KIDUMU
figa la3=KISADO
Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!
Unashabikia? Ngoja nikamweleze
Siku hizi wanawake wamekuja na theory ya kidumu na ndoo....wanasema mwanamke ukienda kisimani shurti uwe na kudumu...ukijikwaa maji yakimwagika hayazoleki,...lakini kama una kidumu unarudi nacho nyumani mnapika.......Kivitendo kweli wanawake wengi wanaenda visimani na ndoo na vidumu...kimaisha ni kuwa mwanamke anakuwa na mume [ndoo].,,,na kidumu[mwanaume wa nje ambaye kwake huwa kama akiba yake incase anything happen kwa mumewe],,...sasa zaidi wengine wanakuwa na VIDUMU na si KIDUMU.....na wemejeuza imekuwa Kidume/Vidume[serengeti boys]
Wanawake huitaji kua na wapenzi watu ama zaidi ili kila mmoja akidhi mahitaji yake kwa wakati muafaka.
Huthubutu kuwa grade wanaume kua mmoja wa kutoka nae,mwingine wa kutatua matatizo ya uchumi na watu huitwa wa UKWELI.
Je ninyi mlio wanaume unadhani mpenzi wako amekuweka katika grade ipi?
Tusubiri kdogo watakuja kukujibu na mimi nipate fahamu ndo maana unaona cjalala adi saa izi nawasubiri wajbu.Madame B,King'asti,Farhina mpeni jbu mwenzenu,heaven on earth
Sikumaanisha kuwa ni mzaramo samahani kama nimekukwaza.Basi msaada tutani hebu tupiamo majibu basi.Mie si mzaramo...