Mwanamke mafiga matatu...

Habari wana MMU..

Inaaminika kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu....

wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo matatu ni ishara ya wanaume watatu, yaani MUME, HAWARA MPYA na BWANA WA ZAMANI. lakini pia wapo wanaodai kwamba mafiga hayo matatu ina maana ya kuolewa mara tatu katika maisha yake. Hii ikiwa na maana kwamba, mwanamke wa kizaramo ni lazima aolewe na kuachwa mara tatu maishani mwake.!!!!

naombeni kufahamishwa juu ya uwepo wa hii dhana ya mafiga matatu katika ndoa za kizaramo!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?

je, mabinti wa kizaramo wanapokuwa kule unyagoni huwa wanapewa mafunzo ya aina gani katika kuishi na waume zao?

hii dhana ya kwamba mabinti wa kizaramo ni mcharuko sana imekaaje wadau?
Lisemwalo lipo aisee!!! wenyewe wanasemaga eti figa moja halisimamishi chungu... " kama ni uongo we unadhani huo msemo umetoka wap?"
 
Habari wana MMU..

Inaaminika kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu....

wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo matatu ni ishara ya wanaume watatu, yaani MUME, HAWARA MPYA na BWANA WA ZAMANI. lakini pia wapo wanaodai kwamba mafiga hayo matatu ina maana ya kuolewa mara tatu katika maisha yake. Hii ikiwa na maana kwamba, mwanamke wa kizaramo ni lazima aolewe na kuachwa mara tatu maishani mwake.!!!!

naombeni kufahamishwa juu ya uwepo wa hii dhana ya mafiga matatu katika ndoa za kizaramo!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?

je, mabinti wa kizaramo wanapokuwa kule unyagoni huwa wanapewa mafunzo ya aina gani katika kuishi na waume zao?

hii dhana ya kwamba mabinti wa kizaramo ni mcharuko sana imekaaje wadau?

Bold: kwa wazaramo wa ukweli hawawezi kukujibu hilo swali, ni kinyume na mafundisho yao.

nina bahati mbaya sana ya kukutana na ndoa za wazaramo zenye matatizo ya mafiga matatu, ambapo hata baadhi ya wanawake wa makabila mengine wanafanya. may be kuna connection kati ya utamaduni wao na hizo tabia. kama wapo waje wajisemee wenyewe
 
Zamani ilikuwa ni matatu tu, ila sasahivi yameongezeka yamekuwa zaidi ya matatu hata kufikia 10... Na si kwa wazaramo tu kama zamani bali ina cover makabila yote sasa.
Hii imeleta ahueni kubwa sana kwenye ndoa na mahusiano yenye stress i.e. usaliti, kipato duni na kushindwa kuridhishana kunako 6*6!
 
Sio wazaramo tu! Ndo habari ya mjini kama unajitambua!!!!!!!!!!!

hahaaaa!! lara 1 ... you made my morning!! yani ina maana mwanamke yeyote anayejitambua lazima awe na figa tatu?

that means wewe unao kama wanne hivi? si ndiyo?

haya ngoja tuone, husband atanunua gari, ex boyfriend-- mafuta, jamaa wa mtaa wa pili--- tyre repairement, boss kazini kule,--- lunch kwa sana,---- mangi pale dukani--- offer za vocha n.k..

aisee umeua bendi!!
 
Last edited by a moderator:
Ni noma hawa mabinti wa kizaramu na kindengereko..unamla sa tatu mpaka sa saba mchana anaoga anakuaga anaenda kwa kaka mtoto wake leo anachezwa akiondoka anaenda gesti hapo mbagala kuu analiwa tena mpaka saa moja jioni..akirudi usiku anaoga anakupa tena ..kesho yake analala anapumzika kibarazani siku nzima..keshokutwa yake ngoma kwa binamu yake mbagala maji matitu kwenda kuliwa tena..
 
.
Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!
IMG-20191107-WA0050.jpeg
 
Back
Top Bottom