Mwanamke mafiga matatu...

Siku hizi wanawake wamekuja na theory ya kidumu na ndoo....wanasema mwanamke ukienda kisimani shurti uwe na kudumu...ukijikwaa maji yakimwagika hayazoleki,...lakini kama una kidumu unarudi nacho nyumani mnapika.......Kivitendo kweli wanawake wengi wanaenda visimani na ndoo na vidumu...kimaisha ni kuwa mwanamke anakuwa na mume [ndoo].,,,na kidumu[mwanaume wa nje ambaye kwake huwa kama akiba yake incase anything happen kwa mumewe],,...sasa zaidi wengine wanakuwa na VIDUMU na si KIDUMU.....na wemejeuza imekuwa Kidume/Vidume[serengeti boys]
 
Mhhhh! nilikuwa sijawahi kuisikia hii. Ahsante Mkuu.

Wanawake huitaji kua na wapenzi watu ama zaidi ili kila mmoja akidhi mahitaji yake kwa wakati muafaka.

Huthubutu kuwa grade wanaume kua mmoja wa kutoka nae,mwingine wa kutatua matatizo ya uchumi na watu huitwa wa UKWELI.

Je ninyi mlio wanaume unadhani mpenzi wako amekuweka katika grade ipi?
 
mie ningependa kuwekwa kwenye kundi la jamaa wakutoka nae...maana ukiwa waukweli utaumia sana ukijagundua wenzio wanachovya.
 
Wanawake huitaji kua na wapenzi watu ama zaidi ili kila mmoja akidhi mahitaji yake kwa wakati muafaka.

Huthubutu kuwa grade wanaume kua mmoja wa kutoka nae,mwingine wa kutatua matatizo ya uchumi na watu huitwa wa UKWELI.

Je ninyi mlio wanaume unadhani mpenzi wako amekuweka katika grade ipi?

Mmmmh..sasahivi hakuna mambo ya mafiga matatu,sasahivi ni mwendo wa jiko la mchina likitoka sufuria hili linabandikwa hili....saaaaaafi!
 
NA NGOMA JE..!?
**HIV/AIDS** ..??
UMEWAI KUWAZA KWENYE HALI HIYO..
Mafija matatu na mixa ngoma ,unaweza kuona inakuaje..
Kiukweli mim sitamani hata jina moja kati ya hayo..
 
naelewa huyu wa "matatizo ya uchumi" hapendwi na labda aonekana ni ugly hafai kutoka nae, huyu "wa ukweli" je, kwa nini hafai kutoka nae?
 
Habari wana MMU..

Inaaminika kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu....

wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo matatu ni ishara ya wanaume watatu, yaani MUME, HAWARA MPYA na BWANA WA ZAMANI. lakini pia wapo wanaodai kwamba mafiga hayo matatu ina maana ya kuolewa mara tatu katika maisha yake. Hii ikiwa na maana kwamba, mwanamke wa kizaramo ni lazima aolewe na kuachwa mara tatu maishani mwake.!!!!

naombeni kufahamishwa juu ya uwepo wa hii dhana ya mafiga matatu katika ndoa za kizaramo!

je kuna ukweli wowote juu ya hili?

je, mabinti wa kizaramo wanapokuwa kule unyagoni huwa wanapewa mafunzo ya aina gani katika kuishi na waume zao?

hii dhana ya kwamba mabinti wa kizaramo ni mcharuko sana imekaaje wadau?
 
Tusubiri kdogo watakuja kukujibu na mimi nipate fahamu ndo maana unaona cjalala adi saa izi nawasubiri wajbu.Madame B,King'asti,Farhina mpeni jbu mwenzenu,heaven on earth
 
Back
Top Bottom