Mwanamke kutokunyoa nywele sehemu za siri

Wale wanaotembea kwapa wazi na ukaona kwenye kwapa kuna msitu basi ujue na makao makuu nako ni vile vile
 
Ukiona mtu anatetea jua nayeye anatuga hayo mauchafu...mwanamke kuwa mivuzi rundo wala haipendezi
 
sasa nini hiki umeleta?
tapatalk_1496763821938.jpeg
 
Nashangaaa wengi mnasema amnyoe,,ukiona mwanamke anakaa na nywele hizo ujue ni mchafu halafu kunyolewa hawataki..sasa mtu hajanyoa mwenyewe je ataweza kunyolewa?
kwani ukiwa na mpenzi na hupendi mavuzi yake si unamwambia tu? wapo wanaume wanapenda hiyo misitu. so kama hupendi ni kumwambia kuwa napenda ukinyoa. Akikataa hapo sasa unaweza ukachukua maamuzi mengine! Mada za kijinga zimezidi..mtu anakurupuka tu ili mradi adhalilishe wanawake.
 
Back
Top Bottom