Mwanamke kusikilizwa

mimi MO11 siwezi kuwa james wala kelvin huwa najibu watu kutokana na mood niliyokuwa nayo kwa hicho kipindi mpango wa kuwa kelvin sana au james sana utaniumiza nataka kuwa kama MO11 si vinginevyo binadamu hatufanani hata kunya sembuse tabia
 
Last edited by a moderator:
Sijijui ni nani,

brenda18 nisaidie mami
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe unapofanya maamuzi ya busara... Kuanzia leo badilika kwa mkeo na utakuwa umemteka kama sio kumpa limbwata!!!

Yaani hayo uliyoandika ndo huwa nafanya kwa wifi yako akionekana kukerwa na jambo lolote, huwa naacha nilichokuwa nafanya na kumsikiliza kwa makini, baada ya hapo huwa namwambia......pole sana kwa hayo mke wangu, katika swala hilo mimi naona jipe muda/pumzika kwanza/twende sehemu tupate faragha ya kulitafakari vizuri.......Hii njia pia inatumika kupata michepuko, maana kuna baadhi ya wanaume wanakuwa wakiwaharass wake zao, sasa mke akipata mtu ambaye anamsikiliza na kumshauri kwa kutumia busara, kuna uwezekano wa kuchepuka naye maana anaona huo ndye mfariji wake.
 
mimi MO11 siwezi kuwa james wala kelvin huwa najibu watu kutokana na mood niliyokuwa nayo kwa hicho kipindi mpango wa kuwa kelvin sana au james sana utaniumiza nataka kuwa kama MO11 si vinginevyo binadamu hatufanani hata kunya sembuse tabia

Mkuu MO11, Unakaribisha kuchapiwa, linapokuja swala la kuchepuka na kuchapa/kuchapwa nje kuna tofauti kati ya me na ke, mwanamke ukimlea na kum - treat vizuri mtu akihitaji uchepukaiji huwa anaona aibu na kujiuliza mara mbili kuwa nimekosa nini kwa mume wangu, lakini kama unamharass hiyo huwa ni sehemu ya kujiliwaza.
 
Last edited by a moderator:

wewe unaogopa kuchapiwa ???
sio wa kwanza wala wa mwisho kuchapiwa na katika kosa ambalo sisamehe ni hili fanya ujinga wako huko mafichoni simu yako sishiki ila nitakapokubamba ndio mwisho wetu sina maongezi

nb:kama mandela ukigundua unachapiwa unamuacha
 
Last edited by a moderator:
wanawake hata ukiwa Kelvin watu wengine wakitaka kuosha rungu wataosha tu huko nje !!
HAMNA GUARANTEE na hiyo sio solution pekee(kusikiliza) matatizo mengine yanahitaji hela ku solve ukiwa unasikiliza na no deliverance what happened?Kugongewa
So you Women you are complex thats conclusion
 

this is the point!! KELVIN is MARIOO amejiajili kwa mke wake tu basi
 

Safi sana.maisha ya ndoa ya ukweli hayafanani hata kidogo na maigizo.sio kila Siku "pole" "I love you" sjui nini.
 
Hahaha..usifanye hivyo tafadhali...usiuigize ujames

hahaha..ukiigiza ujkelvin kila siku utakuwa poyoyo.. that's for sure!!
siku hazifanani, kuna siku unampa pole na kumsikiliza, kuna siku unam ignore tu...!
kwani mie sina yangu ya kufikiri na kufanya...!
 
charminglady unadhani kati ya Kelvin na James nani ana mapenzi ya dhati kwa mkewe(nani mrefu na nani mfupi)?
Mwalimu wangu wa sayansi kimu kule shule ya msingi aliwahasa mabint akisema ''ukiona mchumba wako
mnaongea unashangaa mara kakuwekea pesa kwenye manyonyo,mara kakubusu,hata ukisema jambo la kumuudhi anakupa pole
ujue kuna jambo analificha na mara nyingi siyo mme wa kuishi naye'' mwisho wa kunukuru.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…