miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mimi ni JAMES ukizidi kunichanganya nashusha windows7 naweka windows 8

thibitisha.......
Ubarikiwe unapofanya maamuzi ya busara... Kuanzia leo badilika kwa mkeo na utakuwa umemteka kama sio kumpa limbwata!!!
mimi ni James wakati mwingi...
Ukijifanya kuwa Kelvin mda wote hawa viumbe watakuumiza...!
Mkuu MO11, Unakaribisha kuchapiwa, linapokuja swala la kuchepuka na kuchapa/kuchapwa nje kuna tofauti kati ya me na ke, mwanamke ukimlea na kum - treat vizuri mtu akihitaji uchepukaiji huwa anaona aibu na kujiuliza mara mbili kuwa nimekosa nini kwa mume wangu, lakini kama unamharass hiyo huwa ni sehemu ya kujiliwaza.
kina james ndiyo wengi sana
sitaki kuwa kelvin wengi wanaishia kuumizwa na kuchunwa tu !!
Kusikilizwa ama kutosikilizwa mwanamke anajitakia mwenyewe, lazima mtu a mark position yake. Kumbuka enzi ambazo EL ni PM, nani alikuwa anasikilizwa zaidi? Hapo alaumiwe nani?
Lakini pia huyu mwanamme yeye hana distractions zingine za maisha? Kwamba kilichobakia maishani mwake ni kum attend mkewe tu? Kuna siku za makavu na siku za kubembeleza. Ukibembeleza deile unakuwa Bus.hoke, kila kitu kwa kiasi.
Kelvin, sounds too fake for me, especially nikiwaza iwe January to December, James naye too rude kama ni January to December. Lazima kuwe na na ka balansi.
Raha ya mwanaume kuchunwa

Hahaha..usifanye hivyo tafadhali...usiuigize ujames