Mwanamke kumuita boyfriend mume

Hakuna ubaya mbona.....hutakiwi kukaza kwenye relationship unless binafsi una lengo la kupita tu...ila akuuu mwanakwetu kama unampenda muite hata baba/mama....muonyeshe nafasi yake ilivyo muhimu..kuachana matokeo tu...awe mume au Bf/Gf....MAISHA NDIO HAYA.....Jimilikishe mwayego weeeh...
 
daughter ulimwengu huu ukiishi kwa kujibana bana hakuna siku utayofurahia mahusiano. kama waweza jiachia kwa uliyenae we jiachie, mkiachana ujue haikupangwa muwe pamoja na maisha yatasonga mbele.

kabisa stress free life, mnajifurahisha tuu ikiwa kweli poa na ikiwa sio riziki pooa pia!
dont take life too serious, nobody gets out of it alive nways!!!
thats No 1 rule........lolest.
 
kabisa stress free life, mnajifurahisha tuu ikiwa kweli poa na ikiwa sio riziki pooa pia!
dont take life too serious, nobody gets out of it alive nways!!!
thats No 1 rule........lolest.

umeona eeeh! kama unaweza kumuita baba, mpenzi.... etc hilo la mume lina shida gani? tena bora hata umuite mume inakaribia kwenye uhalisia kuliko kumuita baba
 
Ulimbukeni kabisa huo...eti 'mume wangu' 'mke wangu' alafu apo familia zote mbili hazijawatambua bado,kijana anakupiga danadana tu...

Tena anakufuja kama nini..... Kila weekend lzima uende, umfulie nguo, umpikie utadhani kakuoa. Mwisho wa siku unafukuzwa kama mbwa!!!!!! Yaana nawasikitia wadada wanaoyafanya hayo. Kama sitoolewa kwa kutofanya hayo poa tu!!!!!!
 
daughter ulimwengu huu ukiishi kwa kujibana bana hakuna siku utayofurahia mahusiano. kama waweza jiachia kwa uliyenae we jiachie, mkiachana ujue haikupangwa muwe pamoja na maisha yatasonga mbele.

Mummy kwani kujiachia ndo mpaka tuitane mume na mke... Hilo halikubaliki kamwe aisee!!! OVER MY DEAD BODY
 
Hii ni kwasababu wanafanyiana kila kitu ambacho wanandoa wanafanya mfano, mapenzi, kodi, chakula, usafiri ambapo wanaona ni sawa tu kuitwa mke/mume.
 
Maana yangu ni kama ulivyoandika wewe...

Haijalishi wamuita majina gani, haibadilishi uhalisia kuwa sio mumeo....

umeona eeh! yaani ni kubadili ladha tu maana kumuita jina moja daily inachosha. lol
 
Hakuna ubaya mbona.....hutakiwi kukaza kwenye relationship unless binafsi una lengo la kupita tu...ila akuuu mwanakwetu kama unampenda muite hata baba/mama....muonyeshe nafasi yake ilivyo muhimu..kuachana matokeo tu...awe mume au Bf/Gf....MAISHA NDIO HAYA.....Jimilikishe mwayego weeeh...

meona eeh, mi hata sikumbuki mara ya mwisho kumuita jina lake ni lini, ni mwendo wa mume,baba, honey, sweetheart n.k tunafurahia wenyewe ... hakuna tatizo kabisa.
 
Back
Top Bottom