CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
hivi daughter ukimuita bf mume ukweli si bado unajulikana tu sio mumeo na ww sio mkewe? mi naona ni jina tu kama vile mpnz, bby.... etc. haibadili uhalisia.
Hapana mamie... Mume ana position yake aisee, sasa utakuwa na waume wangapi? As unajikuta mpaka ufikie ndoa ushakuwa na dates kadhaa! Mweeeh... Atabaki kuwa BF, Mpenzi, Baby n.k.
Naona mashost zangu wanavojiachia kwa BF zao et "Mume wangu" Kesho na kesho kutwa wanaachana anapata mwingine pia anaitwa mume lol!! Hata hadhi ya mume inaisha...