chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
Inawezekana ni hasira tu hizo, lakini alionyesha kujutia kitendo chake ndio maana akaja kukutoa na nduguNina mke tumeishinaye kwa miaka kadhaa juzi kati imetokea kutoelewana kati yetu ugomvi wetu ulikuwa mkubwa kiasi cha kupigana japo hakuna aliyeumia kati yetu, baadaye alikimbia police na kufungua kesi ya shambulio nilikamatwa na kuchukuliwa maelezo na kuwekwa ndani kesho yake kaja na ndugu zangu kama watatu akiomba msamaha na mdhamana nisiende mahakamani baadaye nilidhaminiwa. Je huyu binadamu anastahili msamah? Au nimpotezee maana alikuwa na nafasi ya kushirikisha ndugu kabla ya yote.
Mimi hapa kosa moja au tukio moja halitoshi kum judge mtu kuwa hafai au anafaa bali hadi niyakusanye engi niyapime kwanza
hapo jaribu kuunga histori yenu na matukio yenu kwa huko nyuma ndio ufikie hitimisho la kumuacha au kuendeea naye na sio hilo tukio moja lililosukumwa na hasira